Hata pale Kisutu walifanya kuwatuliza. Siyo hulka ya binadamu kutokuwa huru. Hata umpe pilau kuku kila siku, bila uhuru atakuja kutoroka tu. Kama ilivyo kwa wale Tai, ambao wanapenda sana nyama lakini na uhuru wao pia.Wewe acha upumbavu,hao wanatolewa na wananchi, wao walikuwa tayali kwa lolote, soma taarifa uelewe.
Si ndo hapo wao miezi mitano tu kelele kibao huku mtaani wakae tu humo tupunguze na kelele za peoplez huku mtaani
Mashinji sio Mandela hao wa Chadema wanatafuta ukombozi kama wa Mandela wamekaa jela siku 1 tu kelele kila kona jela wanakaa wanaume sio wapaka poda
Kwani wao ndo wanapiga kelele huko jela ama ni wananchi walio huru?Mashinji sio Mandela hao wa Chadema wanatafuta ukombozi kama wa Mandela wamekaa jela siku 1 tu kelele kila kona jela wanakaa wanaume sio wapaka poda
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndo hapo wao miezi mitano tu kelele kibao huku mtaani wakae tu humo tupunguze na kelele za peoplez huku mtaani
Unadhan wana ubavu huo? Zile mbwembwe za siogopi jela ni hadithi tu usije ukawaamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiachana na ushabiki kama hiyo michango haijafikia kiwango mpaka muda huu ujue sio wengi wanao support chadema ..
Mil 350 kwa wananchi sio fedha nyingi kiivo wananchi washindwe kuchangia kama wangekua wengi tena kwa nchi ambayo access ya mtandao is available kwa watu wengi kama tz.
Chadema mjitathmini pia kupitia hili.
Mungu ibariki Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wananchi wakiamuwa kuna atakayewazuia? Kwanza viongozi wa chadema kwa maoni yangu wana busara sana. Waendelee kuwashikilia ndo watajua kama hicho chama kimekufa au bado.So, kwa akili yako unadhani wanachama wote wa chadema wanauwezo wa kutoa michango yao ya fedha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakiwaacha ndani hata mwezi mmoja tu mabeberu wataleta shida zaidi.Tena viongozi wangekaa hiyo miezi mitano ingeleta attention kubwa sana kimataifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine tunaweza kuandamana hakuna shida.So, kwa akili yako unadhani wanachama wote wa chadema wanauwezo wa kutoa michango yao ya fedha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashinji amelipiwa na ccm na si wananchi wa Dar kama wanavyojaribu kutughiribu! Mwenye ushahidi wa wananchi wa Dar kuchanga kwaajili ya Mashinji, auweke hapa.Mkuu Nshonzi , hao wanatosha. Wananchi kwakweli wamejitolea. Hizo siyo pesa kidogo kuachagishwa kwa hiyari ndani ya masaa 24. Hao waliobakia waachiwe bila masharti. ccm wao wamemchangia Mashinji fasta kwa pesa ambazo lazima ni za hazina yetu.View attachment 1384326
Kwani wananchi wakiamuwa kuna atakayewazuia? Kwanza viongozi wa chadema kwa maoni yangu wana busara sana. Waendelee kuwashikilia ndo watajua kama hicho chama kimekufa au bado.
Tunataka siasa za ushindani siyo kurudi nyuma kama ukoloni
Wengine tunaweza kuandamana hakuna shida.
Hujafa ujue,lolote linaweza likakukuta ungeyasema haya ukiwa kaburiniSi ndo hapo wao miezi mitano tu kelele kibao huku mtaani wakae tu humo tupunguze na kelele za peoplez huku mtaani
Mtu akisema anajinyonga huwezi kuamini mpaka awe amejinyonga kweliUnadhan wana ubavu huo? Zile mbwembwe za siogopi jela ni hadithi tu usije ukawaamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakupunguzia pumzi huku uraiani?Mitano inatosha kabisa! Mi nawashangaa wanataka nini kuchomoka mapema kama wanaamini kwamba wao ni wafungwa wa kisiasa? Wabaki huko na Mandela alibaki huko miaka 27.
Wazo lako ni zuri ila hawa jamaa walioshika hatamu awamu hii amini nakwambia ni wakatili mno na kulinda madaraka yao wao wanatumia gharama zozote hata kama ni uhai na ulemavu wa watu hao. Kama inawezekana kuwatoa basi hilo ni la kufanyika haraka mno sababu ni adhabu waliyopewa sio yao na waliowahukumu wanataka kuwaumiza zaidi.Wanajamvi,
Baada ya kumuona ndugu Polepole akikenua meno baada ya kumlipia Dr Mashinji milioni 30 na kutoka gerezani, nimeona kama vile hii hukumu kuna kamchezo fulani hivi kalichezwa ambako kana ukakasi hasa ukizingatia umuhimu wa uhuru wa mahakama pamoja na haki za kisheria za viongozi hao walioswekwa ndani.
Natambuwa jitihada zinazoendelea za michango ya kuwalipia. Lakini kama ni kweli kuna wafungwa wengi ambao wako ndani kwasababu za kisiasa na ambao wameshindwa kulipa pesa, kuwalipia hawa viongozi peke yao itakuwa ni usaliti, na hivyo nashauri viongozi hao wa chadema wasalie ndani magereza hadi hapo watakapoachiwa bila masharti na haki kutendeka kwa wote waliofungwa kwa kubambikiziwa kesi na sababu za kisiasa. Ni wakati pia wa kudai haki kwa wale ambao hawajapatiwa haki zao kwa kuuwawa, kutekwa, kushambuliwa, kufungwa jela nk.
Suala kubwa liko kwenye pesa ambazo zimeshachangishwa. Hilo ni suala linaloweza kufanyiwa kazi kwa maoni kutoka kwa wachangiaji hao pamoja na viongozi wa chadema.
Kwa maoni yangu, kadri viongozi wa chadema wnavyozidi kukaa gerezani, ndivyo ambavyo umaarufu wa ccm ndani na nje ya nchi unadidimia. Ushauri wangu kwa ccm, muwaachie huru viongozi wa chadema waendelee kutoa hoja zao kwa wananchi kwa uhuru kama katiba inavyosema. Na tume huru ni LAZIMA.
View attachment 1384360
.