Viongozi wa CHADEMA walioko gerezani waachiwe mara moja bila masharti

Viongozi wa CHADEMA walioko gerezani waachiwe mara moja bila masharti

Kuelekea maandalizi ya uchaguzi mkuu tunawahitaji hao viongozi kujiunga na viongozi wa vyama vinginevyo vya kweli vya upinzani kuanza maandalizi ya uchaguzi mkuu.

No one knows tomorrow.
Wanatakiwa waendelee kubaki huko hao wa kike wameshatolewa inatosha. Maandalizi ya uchaguzi mkuu ni pamoja na tume huru ya uchaguzi.
 
Wewe unaandika ukiwa gerezani au upo mtaani?

Sent using Jamii Forums mobile app
"Tunawashukuru sana Watanzania kwa michango yao wanaoendelea kuchangia, kitendo cha kuchangia kufikisha Mil. 234 ndani ya saa 24 ni jambo kubwa sana. Bado tunahitaji michango zaidi iendelee ili kuweza kuwatoa viongozi wetu wote," Kaimu Katibu Mkuu wa @ChademaTz Kigaila Benson.

"Kutokana na michango ya Watanzania, hadi sasa tumefanikiwa kukusanya kiasi cha fedha kuweza kuwalipia viongozi wetu watatu, tumemlipia Mhe. @halimamdee, Mhe. @esteramosbulaya na Mhe.@Matiko_Esther_, tayari tumeshalipa pesa hizo," Kaimu Mkiti wa @ChademaTz, Said Issa Mohammed.
 
Mbona wameweza kutoa pesa zote hizo kama ni cowardice kihivyo? Hiyo energy inaweza kuwa “channeled” kivingine tu mkuu. Hivi uliona wananchi pale Kisutu walivyovimba na hao policcm?
Mbona wameweza kutoa pesa zote hizo kama ni cowardice kihivyo? Hiyo energy inaweza kuwa “channeled” kivingine tu mkuu. Hivi uliona wananchi pale Kisutu walivyovimba na hao policcm?

Ndo ivyo sion sababu ya Mbowe kukaa Gerezan wakat wananchi wameamua ..kumtoa..nakumlipia Faini.
 
"Tunawashukuru sana Watanzania kwa michango yao wanaoendelea kuchangia, kitendo cha kuchangia kufikisha Mil. 234 ndani ya saa 24 ni jambo kubwa sana. Bado tunahitaji michango zaidi iendelee ili kuweza kuwatoa viongozi wetu wote," Kaimu Katibu Mkuu wa @ChademaTz Kigaila Benson.

"Kutokana na michango ya Watanzania, hadi sasa tumefanikiwa kukusanya kiasi cha fedha kuweza kuwalipia viongozi wetu watatu, tumemlipia Mhe. @halimamdee, Mhe. @esteramosbulaya na Mhe.@Matiko_Esther_, tayari tumeshalipa pesa hizo," Kaimu Mkiti wa @ChademaTz, Said Issa Mohammed.
ruzuku hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaandika utumbo hizo pesa mlizochangishana chadema ndio mngepeleka mkawatoe wanasiasa wenu huko waliofungwa, mmekuwa na double standard sana yaani maviongozi majambazi yanayokula ruzuku ndio bado yanachukua na fedha za maskini pumbavu sana.
 
Mitano inatosha kabisa! Mi nawashangaa wanataka nini kuchomoka mapema kama wanaamini kwamba wao ni wafungwa wa kisiasa? Wabaki huko na Mandela alibaki huko miaka 27.
Kumbe watu mkivimbewa maharage ya jana mnaweka akili mfukoni!!!
 
Wakati kesi ya viongozi wa Chadema ikiendelea mahakamani, Tulijizuia tusiseme lolote kuhusu kesi hii hadi hapo itakapokwisha.

Hukumu Hatimaye imetoka na hii ilikuwa ni kesi ya uonevu isiyokuwa na kichwa wala miguuu.

Ndani ya saa 24 watanzania wamechanga zaidi ya sh mil 230 Kati ya mil 350 za faini ya mahakama.

Maana yake ni kwamba CHADEMA ni chama cha watanzania na kina Mbowe ni viongozi tu.

Ni watanzania wamechoka na umaskni ulioletwa na CCM na unakolezwa zaidi na awamu yako.

Mh Rais, kwa Taarifa yako kuna wabunge wa CCM na viongozi wakubwa ndani ya serikali yako pia wametoa mchango ili kuwalipia viongozi wa CHADEMA.

Haki haijawahi kushindwa na uonevu popote Duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo ivyo sion sababu ya Mbowe kukaa Gerezan wakat wananchi wameamua ..kumtoa..nakumlipia Faini.
Wananchi wameshatoa za kutosha mkuu kwa wale kina mama. Hao wa kiume hawana shida mkuu. Ccm watabana mwisho wataachia.
 
Back
Top Bottom