Buzi Maarufu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 422
- 330
Kumbe Mashinji katolewa kwa pesa za ruzukuacha uongo nani anapenda kuishi jela? hizo Pesa za ruzuku hazina gap la kuzibia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe Mashinji katolewa kwa pesa za ruzukuacha uongo nani anapenda kuishi jela? hizo Pesa za ruzuku hazina gap la kuzibia
Sent using Jamii Forums mobile app
Walizomtolea Mashinji katoa tajiri gani?Unaandika utumbo hizo pesa mlizochangishana chadema ndio mngepeleka mkawatoe wanasiasa wenu huko waliofungwa, mmekuwa na double standard sana yaani maviongozi majambazi yanayokula ruzuku ndio bado yanachukua na fedha za maskini pumbavu sana.
Mkuu ulichosema ni kweli. Lakini mbona Lissu katolea mifano ya kina Mandela?Wazo lako ni zuri ila hawa jamaa walioshika hatamu awamu hii amini nakwambia ni wakatili mno na kulinda madaraka yao wao wanatumia gharama zozote hata kama ni uhai na ulemavu wa watu hao. Kama inawezekana kuwatoa basi hilo ni la kufanyika haraka mno sababu ni adhabu waliyopewa sio yao na waliowahukumu wanataka kuwaumiza zaidi.
Wakiendelea kukaa gerezani, ni aibu kwa Taifa letu. Kesi yenyewe tayari washasema ni ya kisiasa! Hivyo wanaamini kuwa kina Mbowe ni wafungwa wa kisiasa.Jela tofauti na mahabusu kwanza kuingia ni kunyolewa kipara kisha kupangiwa gereza la kukaa na kufanyishwa kazi tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakae tu kwani wao ni malaika ? Wangapi wapo gerezani wanatumikia vigungo vyao.....wafanye ujinga halafu watazamwe tu wao ni akina nani?Wanajamvi,
Baada ya kumuona ndugu Polepole akikenua meno baada ya kumlipia Dr Mashinji milioni 30 na kutoka gerezani, nimeona kama vile hii hukumu kuna kamchezo fulani hivi kalichezwa ambako kana ukakasi hasa ukizingatia umuhimu wa uhuru wa mahakama pamoja na haki za kisheria za viongozi hao walioswekwa ndani.
Natambuwa jitihada zinazoendelea za michango ya kuwalipia. Lakini kama ni kweli kuna wafungwa wengi ambao wako ndani kwasababu za kisiasa na ambao wameshindwa kulipa pesa, kuwalipia hawa viongozi peke yao itakuwa ni usaliti, na hivyo nashauri viongozi hao wa chadema wasalie ndani magereza hadi hapo watakapoachiwa bila masharti na haki kutendeka kwa wote waliofungwa kwa kubambikiziwa kesi na sababu za kisiasa. Ni wakati pia wa kudai haki kwa wale ambao hawajapatiwa haki zao kwa kuuwawa, kutekwa, kushambuliwa, kufungwa jela nk.
Suala kubwa liko kwenye pesa ambazo zimeshachangishwa. Hilo ni suala linaloweza kufanyiwa kazi kwa maoni kutoka kwa wachangiaji hao pamoja na viongozi wa chadema.
Kwa maoni yangu, kadri viongozi wa chadema wnavyozidi kukaa gerezani, ndivyo ambavyo umaarufu wa ccm ndani na nje ya nchi unadidimia. Ushauri wangu kwa ccm, muwaachie huru viongozi wa chadema waendelee kutoa hoja zao kwa wananchi kwa uhuru kama katiba inavyosema. Na tume huru ni LAZIMA.
Kwasababu kutokana na kauli ya wamarekani kwamba kesi hii ni unyanyasaji dhidi ya wapinzani, ina maana kwamba viongozi wa chadema walioko gerezani, wanachukuliwa kuwa ni wafungwa wa kisiasa na wala siyo wahalifu kama ccm inavyotaka waonekane mbele za macho ya wapiga kura.
View attachment 1384360
.
Mkuu ulichosema ni kweli. Lakini mbona Lissu katolea mifano ya kina Mandela?
Hapa pia nadhani kuna shida kwasababu siyo wao waliomuuwa Akwilina. Pia wengine wengi wamekuwa wakiteseka humo ndani kabla hata kina Mbowe hawajitiwa hatiani. Hata yeye mwenyewe alipokaa huko wakati ule alipofungwa alizungumzia hilo. Tundu Lissu amezungumzia hilo.
mpaka poda ni anae waogopa alafu ana DolaMashinji sio Mandela hao wa Chadema wanatafuta ukombozi kama wa Mandela wamekaa jela siku 1 tu kelele kila kona jela wanakaa wanaume sio wapaka poda
Sent using Jamii Forums mobile app
Walifanya ujinga gani? Unafahamu nani aliyemuuwa Akwilina? Unafahamu kuwepo kwao gerezani ni doa zaidi kwa serikali hii?Wakae tu kwani wao ni malaika ? Wangapi wapo gerezani wanatumikia vigungo vyao.....wafanye ujinga halafu watazamwe tu wao ni akina nani?
sent from toyota Allex
👍🏽Bado wenye mapenzi mema wanaendelea kuchangaView attachment 1384543
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtaji huu, kwanini basi wasingeendelea kubaki gerezani ili umaarufu wa CCM udidimie hadi kumalizika kabisa?.Kwa maoni yangu, kadri viongozi wa chadema wnavyozidi kukaa gerezani, ndivyo ambavyo umaarufu wa ccm ndani na nje ya nchi unadidimia.
Naunga mkono hoja, katazo la mikutano ya siasa liondolewe, japo aliyezuia mikutano sio CCM ni rais wa JMT.Ushauri wangu kwa ccm, muwaachie huru viongozi wa chadema waendelee kutoa hoja zao kwa wananchi kwa uhuru kama katiba inavyosema. Na tume huru ni LAZIMA.
Nashauri waendelee kukaa gerezani hadi pale watakapotolewa bila masharti yoyote kwasababu ni wafungwa wa kisiasa(Polisi ndo walimuuwa Akwilina)R.I.PKwa mtaji huu, kwanini basi wasingeendelea kubaki gerezani ili umaarufu wa CCM udidimie hadi kumalizika kabisa?.
Naunga mkono hoja, katazo la mikutano ya siasa liondolewe, japo aliyezuia mikutano sio CCM ni rais wa JMT.
Hili la Tume, kuifanya iwe Shirikishi ni jambo linalohitaji lobbying, tusitumie maneno makali kama LAZIMA, blaza wangu yule hapendi kabisa kupangiwa, hivyo kulazimishwa ndio kabisa!.
Kama ni yeye aliyesema hasomeshi mtoto wa kike atakayepata ujauzito, lakini juzi kamtuma tarishi kupeleka barua ya kuibadili hiyo kauli kwa kubwa la mabeberu, hivyo hata mikutano ya siasa ataruhusu na Tume kuifanya Shirikishi.
P
Kwa vile fedha za WB zimezuiliwa kwa hoja ya mimba za mtoto wa kike, kuruhusiwa kuendelea na masomo baada ya kujifungua, hiyo ni sababu tosha ya serikali ku take action.Nyie ndiyo mnaochagua ni uhuru upi wa kutoa(mmechagua watoto waliopata mimba)
Akili nyingine bhana mnazijua nyie wenyewe.🤦🏾♂️
Kumbe WB siyo mabeberu bali ni marekani tu “wanaoingilia sovereignty yetu”?Kwa vile fedha za WB zimezuiliwa kwa hoja ya mimba za mtoto wa kike, kuruhusiwa kuendelea na masomo baada ya kujifungua, hiyo ni sababu tosha ya serikali ku take action.
WB wakiweka shurti la mikutano iruhusiwe, tutaruhusu.
P
WB na IMF ni mashirika ya kibeberu. Wote na kubwa la mabeberu wanatuingiliaKumbe WB siyo mabeberu bali ni marekani tu “wanaoingilia sovereignty yetu”?