Viongozi wa CHADEMA walioko gerezani waachiwe mara moja bila masharti

Hili siyo sawa,hukumu tu imetosha kuwapa umaarufu ndani na nje ya Tz. Nawashauri viongozi waliobaki gerezani wasithubutu kupokea msamaha toka kwa Jiwe,watampandisha chati isivyo kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WB na IMF ni mashirika ya kibeberu. Wote na kubwa la mabeberu wanatuingilia
P
Sasa Mbona wako gerezani kwa kesi ambayo dola ndiyo ilifanya mauwaji na hata baada ya “foreign relations committee” kutoa statement ya kutoridhishwa na hukumu hii? Tena wakasema kabisa kuwa hukumu waliyopewa viongozi wa chadema ni dalili kwamba uchaguzi mkuu wa 2020 hautakuwa wa haki wala huru.

Kuendelea kuwaweka ndani ni utaratibu ule ule wa kuisaidia ccm. Especially uchaguzi mkuu unapokaribia.
 
Hili siyo sawa,hukumu tu imetosha kuwapa umaarufu ndani na nje ya Tz. Nawashauri viongozi waliobaki gerezani wasithubutu kupokea msamaha toka kwa Jiwe,watampandisha chati isivyo kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kuachiwa ndo muhimu zaidi.

Kwa namna nchi inavyoendeshwa, mahakama na polisi ni kama miguu na mikono kwenye mwili wa serikali.

Ukikataa kupokea kwasababu imetolewa kwa mkono wa kulia, ujuwe hata mkono wa kushoto ni mtu yule yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…