Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Baada ya kutimiza siku 76 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti wa Mkoa, Rajabu Mfaume Bujoro na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kasulu, Phanuel Eliabi Kisabo, pamoja na wenzao watatu, wameachiwa huru leo tarehe 10/02/2026 na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kigoma baada ya Wakili wa Serikali (DPP) kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo.Viongozi hao waliwakilishwa na Wakili Dickson Lucas Matata, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi.