Viongozi wa CHADEMA waliokuwa mahabusu waachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

Viongozi wa CHADEMA waliokuwa mahabusu waachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

Haya mambo ndio yanafanya kudorola kwa demokrasia. Maana kwa mwenendo huu Chama tawala lazima kifanye kila liwezekanalo kisitoke madarakani maana kinahofia kisasi na malipizi kwa hayo yanayoendelea.

Tuishi kwa haki. Dunia tunapita
 
Baada ya kutimiza siku 88 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti

10 February 2026

WAFUNGWA 80 WA KISIASA TANZANIA WAACHIWA HURU BAADA YA KUWA KIZUIZINI MAGEREZA. NI WANACHAMA WA CHADEMA

View: https://m.youtube.com/watch?v=pyrdp9WG-3g
Wafungwa wote wa kisiasa waliotupwa magerezani na utawala huu wa chama dola kongwe waachiwe mara moja bila masharti yoyote
 
10 February 2026
Kigoma, Tanzania

Samia Suluhu dictactorship regime has release 88 Political Detainees from Tanzanian prisons

View: https://m.youtube.com/watch?v=pyrdp9WG-3g
After languishing for 80 days in prison, 88 CHADEMA leaders in Kigoma region, Tanzania including Regional Chairman, Rajabu Mfaume Bujoro and Kasulu District Chairman, Phanuel Eliabi Kisabo, along with three of their colleagues, have been released today, 10/02/2026, by the High Court of Tanzania, Kigoma Zone, after DPP fhrough the State Attorney (DPP) produced a Nolle prosequi meaning to be unwilling to prosecute the political prisoners.

The leaders were represented by Attorney Dickson Lucas Matata, who is also the Chairman of CHADEMA, Western Zone.

The regime dictatorial regime of Samia Suluhu Hassan has been abusing and persecuting the opposition leaders and members by detaining them and later on issueing a note of not interested to continue pressing the false charges.
1770738277424.jpeg

Dictator Dr. Samia Suluhu Hassan of Tanzania
 
Baada ya kutimiza siku 76 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti wa Mkoa, Rajabu Mfaume Bujoro na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kasulu, Phanuel Eliabi Kisabo, pamoja na wenzao watatu, wameachiwa huru leo tarehe 10/02/2026 na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kigoma baada ya Wakili wa Serikali (DPP) kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo.

Viongozi hao waliwakilishwa na Wakili Dickson Lucas Matata, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi.
Hapo ndo polisi wanatamani wangewapiga risasi kuwapoteza moja kwa moja.
 
Hii nchi ina dhulma na uonevu mkubwa sana, ajabu ni kwamba 99% ya raia wake wanashinda misikitini na makanisani, sijui huwa wanaenda kunafanya nini huko!
 
Hii nchi ina dhulma na uonevu mkubwa sana, ajabu ni kwamba 99% ya raia wake wanashinda misikitini na makanisani, sijui huwa wanafananya nini huko!

Halafu waandishi wanaogopa kuandika kuwa hawa ni wafungwa wa kisiasa walioachiwa kutoka kizuizini magereza.

Wanatumia maneno laini katika vya vichwa vya habari vya magazeti, majukwa na media zao
 
Ni jambo jema lakini bado lina tatizo. Nolle prosequi haimaanishi kuwa hawajakutwa na hatia na inamruhusu DPP kuwashitaki tena hapo baadae. Kiwingu kuwa walifanya kosa lakini ni wema wa DPP ndio uliowaokoa kinabakia. Sijui kama wana haki ya kudai fidia kwa mambo waliyofanyiwa.

Amandla...
 
Back
Top Bottom