Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Baada ya kutimiza siku 88 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti wa Mkoa, Rajabu Mfaume Bujoro na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kasulu, Phanuel Eliabi Kisabo, pamoja na wenzao watatu, wameachiwa huru leo tarehe 10/02/2026 na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kigoma baada ya Wakili wa Serikali (DPP) kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo.
Viongozi hao waliwakilishwa na Wakili Dickson Lucas Matata, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi.
Tupate katiba mpya na Kuwe na utaratibu wa kulipwa fidia. Unamlock mtu 88daysSerikali Haina aibu....
Mtu anapanga kuagiza silaha kutoka nje ya nchi...,(Burundi na Congo) unampa kesi ya ugaidi...
Sasa kesi inaanza kwa maelezo ya awali (PH) anajitokeza DPP anasema Sina Nia ya kuendelea na hii kesi
Ina maana Serikali inabambika watu kesi....
Huu ugaidi tunaoimba Kila siku ipo siku utaijia Serikali na kujua Nini maana ya ugaidi
Tupate katiba mpya na Kuwe na utaratibu wa kulipwa fidia. Unamlock mtu 88days Ameacha familia , biashara na majikumu kibao apo akitoka anakutana na madeni.Baada ya kutimiza siku 88 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti wa Mkoa, Rajabu Mfaume Bujoro na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kasulu, Phanuel Eliabi Kisabo, pamoja na wenzao watatu, wameachiwa huru leo tarehe 10/02/2026 na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kigoma baada ya Wakili wa Serikali (DPP) kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo.
Viongozi hao waliwakilishwa na Wakili Dickson Lucas Matata, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi.
Baada ya kutimiza siku 88 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti wa Mkoa, Rajabu Mfaume Bujoro na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kasulu, Phanuel Eliabi Kisabo, pamoja na wenzao watatu, wameachiwa huru leo tarehe 10/02/2026 na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kigoma baada ya Wakili wa Serikali (DPP) kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo.
Viongozi hao waliwakilishwa na Wakili Dickson Lucas Matata, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi.
Hivi kwanini Dpp amekuwa na kinga ya kutokushtakiwa ?!. Unateseka kwa miezi mahabusu. Halafu anakuja siku moja Dpp kuwa hana nia ya kuendelea na kesi !!Baada ya kutimiza siku 88 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti wa Mkoa, Rajabu Mfaume Bujoro na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kasulu, Phanuel Eliabi Kisabo, pamoja na wenzao watatu, wameachiwa huru leo tarehe 10/02/2026 na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kigoma baada ya Wakili wa Serikali (DPP) kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo.
Viongozi hao waliwakilishwa na Wakili Dickson Lucas Matata, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi.
Mahakama za kutoa haki hiyo iko wapi Mshana Jr:Kukomesha huu upuuzi wafungue kesi ya madai
Yaani unazuia nguvu kazi ya Taifa Kwa mambo ya kipuuzi mienzi mitatuBaada ya kutimiza siku 88 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti wa Mkoa, Rajabu Mfaume Bujoro na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kasulu, Phanuel Eliabi Kisabo, pamoja na wenzao watatu, wameachiwa huru leo tarehe 10/02/2026 na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kigoma baada ya Wakili wa Serikali (DPP) kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo.
Viongozi hao waliwakilishwa na Wakili Dickson Lucas Matata, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi.