SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Tunasisitiza tena. Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Mheshimiwa Dr Ndugai. Wasije kuvuruga Amani
Kama mme weza kuwa tengana shughuli za kisiasa hakuna atakaye shangaa kusikia hata msibani hamtaki kuwa onna.Tunasisitiza tena. Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Mheshimiwa Dr Ndugai. Wasije kuvuruga Amani
Sidhani kama ni lazima. Hata wasipohudhuria atazikwa.Tunasisitiza tena. Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Mheshimiwa Dr Ndugai. Wasije kuvuruga Amani
Hebu sema tena, eti Dr nani !!!!Tunasisitiza tena. Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Mheshimiwa Dr Ndugai. Wasije kuvuruga Amani
Hamna mwanacdm hata anayetamani kuhudhuria mazishi ya huyo muhuni aliyeshirikiana na dhalimu magu kuharibu demokrasia ya nchi hii. Labda covid19 maana wao ndio aliwapa maisha.Tunasisitiza tena. Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Mheshimiwa Dr Ndugai. Wasije kuvuruga Amani
Wananyasi kijani ndiko mlikotufikisha na ubaguzi wenu.Tunasisitiza tena. Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Mheshimiwa Dr Ndugai. Wasije kuvuruga Amani
Karibu Sana Dr MboeMbona umechelewa kutoa hoja,
Azimio hilo limekwishapitishwa kitambo. Mwamba atahudhudhuria kwa niaba ya chauma
Tako lingine hili linahitaji bwana wanaume msijifanye hamlioniTunasisitiza tena. Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Mheshimiwa Dr Ndugai. Wasije kuvuruga Amani
Hakuna kuingia pale bila kadi ya Chama.Kwani mjomba wao hata wahudhurie, au kuna kugawana nyama.
Uliambiwa wameomba.Hakuna kuingia pale bila kadi ya Chama.