Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Ndugai

Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Ndugai

Tunasisitiza tena. Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Mheshimiwa Dr Ndugai. Wasije kuvuruga Amani
Ninawashauri CHADEMA kama wakialikwa kuhudhuria msibani watumie nafasi hiyo kusema ukweli kuhusu marehemu alivyoitendea CHADEMA akiwa madarakani; na kupitia msiba huo kama CHADEMA wanamseheme ila wanawaambia viongozi wengine kifo ni fumbo hivyo watende mema kwa wanaowasimamia katika shughuli za uongozi.
Mwisho kabisa waseme Octoba Hatutiki
 
Kwa wiki kadhaa mleta sledi amekuwa hatulii.Kila dakika anaandika sledi.Lazima ana changamoto ya akili ingawa sijui kama akili zenyewe anazo.
 
Tunasisitiza tena. Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Mheshimiwa Dr Ndugai. Wasije kuvuruga Amani
Unawashwa? Saivi Kuna misiba ya vyama? What will be next??? Harusi za vyama ? Hospitali za vyama? Usiropoke kama umekatwa kichwa.
 
Unaropoka vitu kama umezimwa data. Acheni uchawa wa kupindukia, mnaboa sana
Huu msiba kafa Kiongozi wa Chama Chetu. CHADEMA Kaeni mbali msije mkasema mambo yenu ya Reforms msibani
 
Huu msiba kafa Kiongozi wa Chama Chetu. CHADEMA Kaeni mbali msije mkasema mambo yenu ya Reforms msibani
Una upeo mfinyu sana,huwezi ata kutofautisha maisha ya kijamii na maisha ya kisiasa. Sio Kila sehemu zinawekwa itikadi zako za kipuuzi. You are a disgrace to CCM itself ni kama unaprove how mindless the majority wapo ni kutafuta sifa tu Kwa viongozi ... Hata hamfikirii kuona the bigger picture
 
Back
Top Bottom