figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Halizao tafadhari!Viongozi wa Chadema Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wamepata ajali mbaya jioni ya Leo walipo kuwa wakienda kwenye harambaee ya ujenzi wa ofisi ya chama Kijiji Cha Ilundo Kata ya Kiwila
View attachment 3695673
Ahsante Mungu umewaokoa makamanda wetu watu wa haki.Viongozi wa Chadema Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wamepata ajali mbaya jioni ya Leo walipo kuwa wakienda kwenye harambaee ya ujenzi wa ofisi ya chama Kijiji Cha Ilundo Kata ya Kiwila
View attachment 3695673
Mkono wa ccm, siyo bureViongozi wa Chadema Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wamepata ajali mbaya jioni ya Leo walipo kuwa wakienda kwenye harambaee ya ujenzi wa ofisi ya chama Kijiji Cha Ilundo Kata ya Kiwila
View attachment 3695673
Wameigonga makusudi, hakuna cha ku fail brakeCCM ni wachawi sana
Lukasi kwa nini hutaki kulawitiwa kijana??Wanapenda sana Michango hawa CHADEMA. Yaani wao wanawaza upigaji tu muda wote . Hivi hapo Wataanza kuomba michango ya hilo gari . Na hapo lengo lao limenyooka sasa ni mwendo wa kuanza kubandika namba za kupokelea hela .
Halafu eti wanajiita makamanda . Njaa tu ndio zinawasumbua . CHADEMA hawana faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
Erythrocyte ! 😁Asante Mungu kwa hiki kidogo
Mungu hajawahi kushindwa na Jini Makata
Kikubwa kitatangazwa na NdejembiAsante Mungu kwa hiki kidogo
Amen.Mungu ni mwema. Asante Mungu wetu kwa ulinzi wako juu ya hawa watu ambao licha ya dhuluma, vitisho na uovu mbalimbali wanaofanyiwa na wadhulumaji wa haki, lakini wameendelea kusimama.
Mungu wetu, tunakushukuru sana maana tunaendelea kuuona Mkono wako wenye nguvu ya ulinzi.
Huoni na hii ishu ikiwatokea ccm nao watasema chadema ni wachawi sana?CCM ni wachawi sana
CHADEMA kumbe bado wanazindua OFISI, Dah! Kazini kwa Bi CHivayo Kuna Kazi! Mwaka huu atafunga WAHAINI WENGI SANAViongozi wa Chadema Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wamepata ajali mbaya jioni ya Leo walipo kuwa wakienda kwenye harambaee ya ujenzi wa ofisi ya chama Kijiji Cha Ilundo Kata ya Kiwila
Hakuna aliumia wala kufariki dunia
View attachment 3695673
Hivyo vigari si vya kufanya harakati ,kama pesa ya kukodi LC hata 150 hakuna wekeni namba makamanda wachange ,hivyo VIBUNJU ni risk sana ,scania marcopolo ikipita kwa speed lazima uende mtaroni au kwenye korongo.Viongozi wa Chadema Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wamepata ajali mbaya jioni ya Leo walipo kuwa wakienda kwenye harambaee ya ujenzi wa ofisi ya chama Kijiji Cha Ilundo Kata ya Kiwila
Hakuna aliumia wala kufariki dunia
View attachment 3695673
Pole sana majeruhi wote waliohusika kwenye ajali hiyo mbaya ya barabarani, Allah awafanyie wepesi na nafuu ya mapema na hatimae uponyaji wa majeraha na maumivu makali wanayopitiaViongozi wa Chadema Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wamepata ajali mbaya jioni ya Leo walipo kuwa wakienda kwenye harambaee ya ujenzi wa ofisi ya chama Kijiji Cha Ilundo Kata ya Kiwila
Hakuna aliumia wala kufariki dunia
View attachment 3695673