Course Coordinator1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 857
- 2,341
Pole sana kwa makamandaViongozi wa Chadema Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wamepata ajali mbaya jioni ya Leo walipo kuwa wakienda kwenye harambaee ya ujenzi wa ofisi ya chama Kijiji Cha Ilundo Kata ya Kiwila
Hakuna aliumia wala kufariki dunia
View attachment 3695673
Wanapenda sana Michango hawa CHADEMA. Yaani wao wanawaza upigaji tu muda wote . Hivi hapo Wataanza kuomba michango ya hilo gari . Na hapo lengo lao limenyooka sasa ni mwendo wa kuanza kubandika namba za kupokelea hela .
Halafu eti wanajiita makamanda . Njaa tu ndio zinawasumbua . CHADEMA hawana faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
Mungu amewaepushia kifo🔥🔥🔥💖Viongozi wa Chadema Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wamepata ajali mbaya jioni ya Leo walipo kuwa wakienda kwenye harambaee ya ujenzi wa ofisi ya chama Kijiji Cha Ilundo Kata ya Kiwila
Hakuna aliumia wala kufariki dunia
View attachment 3695673
Asante Mungu kwa hiki kidogo
Siku hizi huna hoja,ni kuropoka tu.CCM ni wachawi sana
Nilikuona kwenye maandamano ya kulialia juu ya Mange.Wanapenda sana Michango hawa CHADEMA. Yaani wao wanawaza upigaji tu muda wote . Hivi hapo Wataanza kuomba michango ya hilo gari . Na hapo lengo lao limenyooka sasa ni mwendo wa kuanza kubandika namba za kupokelea hela .
Halafu eti wanajiita makamanda . Njaa tu ndio zinawasumbua . CHADEMA hawana faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
Tunasubiri kikubwa, kitakapotokea na watu wakaanza kuchinja mbuzi msianze kulialia eti utaifa.Asante Mungu kwa hiki kidogo