Viongozi wa China ni ma injinia au tuseme Wana sayansi

Viongozi wa China ni ma injinia au tuseme Wana sayansi

August

Platinum Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
10,983
Reaction score
7,157
Kuendelea Kwa china kiviwanda, Kilimo na uzalishaji kuna tokana na kuwa na uongozi wa Wana sayansi. Ambao wanajua maana kamili ya uzalishaji na sio maneno maneno.

Tanzania sio nchi ya kujifunza la maana lolote toka kokote duniani isipokuwa ujanja, mbinu na maarifa ya kisiasa tu
Hata hizo hatuna, tungewaona huko Duniani wanatamba na kusifiwa kama tunavyowaona raia wa nchi nyingine.
Sisi tumejazana maujinga yale ya enzi ya Mwl Nyerere na kujiona bora mpaka leo.
 
Hata hizo hatuna, tungewaona huko Duniani wanatamba na kusifiwa kama tunavyowaona raia wa nchi nyingine.
Sisi tumejazana maujinga yale ya enzi ya Mwl Nyerere na kujiona bora mpaka leo.
Miaka ya 1990 Professor mmoja wa hesabu kama ( sitakosea ) aliomba ardhi, ili ajenge Kijiji cha science akusanye vijana afanye utafiti na ugunduzi, wakamnyima na mapori yalikuwepo wanaishi ngedere tu. Aliyetuloga kafa na tunguli kazikwa nazo, kwa hiyo wa kutuagua turudishiwe akili hatapatikana tena.
 
Hata hizo hatuna, tungewaona huko Duniani wanatamba na kusifiwa kama tunavyowaona raia wa nchi nyingine.
Sisi tumejazana maujinga yale ya enzi ya Mwl Nyerere na kujiona bora mpaka leo.
Kwetu Kikubwa ni no reforms no election! Swali kwa faida ya nani? Tumbo la mtu au matumbo ya Raia? Ukichunguza ni tumbo lake tu
 
Such a brainwashed fella!
Tatizo ubinafsi umewajaa! Mnatumia wananchi kupandia. Kitu cha kwanza ingekuwa ni kueleza value added kwa yeye kuwa kiongozi! Baada ya hapo tuone mchakato wa yeye kupata uongozi. Hapo ndipo no reforms no election ingaliingia.
 
Darasa ya ngapi wewe?
 
China ukisoma humanities au commerce unaonekana kilaza. Na hayana deal

50% ya graduates China ni wa STEM (Science, Technology, Engineering, Maths)
​
50% ya graduates waliobaki wamesomea nini??
 
Darasa ya ngapi wewe?
Itakusaidia nn ww elimu yake tunataka ikiwa ww unamawazo ya kipinzanj sio zambi lkn Mkumbuke Edward Lowassa RIP !!!
yeye ajenda yake kuuu ilikuwa elimu sio katiba sio no reforms no election kwakuwa mzee Edo aliwaza mbali zaid !!!

lkn awa vitumbo wanawaza kushika Dolla tu sio mwelekeo wa Taifa kama Edward Lowassa !!!!

ndio mana mzee Edward alikuwa Mpinzani pekee aliepata kura nyingi kuliko yyte nchini Tanzania kwasasa sijui kama atatokea tena uyu mzee wapo wanoenda mbali na kudai alishinda Uchaguzi !!!

Elimu Elimu ndio wanataka watu Ukombozi wa Elimu !!

sio katiba na ujinga mwengine !!!

KENYA walibadil katiba yao kunanini Wananchi wamenufaika zaid njaaa ipo palepale !!!!

Upinzani wasasa ni Siasa ya matumbo tumbo akuna kipya. Ndio mana wanakamatwa mbele ya Wananchi Wananchi awana habari nao washawajua OOOO OOO OOO
 
Back
Top Bottom