Viongozi wa China ni ma injinia au tuseme Wana sayansi


Kwa analysis ya namna hii, am out!
 
Kwetu Kikubwa ni no reforms no election! Swali kwa faida ya nani? Tumbo la mtu au matumbo ya Raia? Ukichunguza ni tumbo lake tu
Wapewe tu waitakayo mbona Malawi Liberia Zambia Kenya Ghana wanayo still no change zaidi ya tumbo.
 
Wachina wanasoma hatari uko ULAYA university nyingi wamejaaa Wachina wanalipa Ada yoyote !!!

wanachukua Elimu na kupeleka nyumbani waliofunzwa ujasusi ubaki uko uko ULAYA kuchunguza na mabakibaki mengine !!!

Mchina yupo mbali sana lkn kubwa ni Elimu
 
Katiba ndo kila kitu katika uongozi wa nchi yoyote ile,, kumbuka mwanadamu sio malaika,ana mapungufu mengi tu,hivyo ni muhimu sana kumuwekea misingi yakumuongoza (sheria),,ili aenende vyema na kwa haki katika majukumu yake, Trump na jeuri yake yote kuna hana final say katika kuyashughulikia,sio kama sisi kiongozi ana final say kwa kila jambo atakalo yeye!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…