Viongozi wa Dini Acheni Unafiki. Tanzania ina Amani Gani?

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Kiongozi yeyote wa dini anayesema eti tulinde amani tuliyo nayo, ni kiongozi mnafiki, mwongo, anayetumika na waovu. Kiongozi wa namna hiyo tumpuuze.

Watu wanatekwa
Watu wanauawa
Watu wanapigwa, wanatiwa ulemavu wanatupwa maporini.

Watu wanakamatwa wanapigwa na kuawitiwa.

Halafu anatokea mtu mnafiki anasema eti tendelee kulinda amani iliyopo!! Yaani tuendelee kulinda utekaji, kulinda mauaji , tuendelee kulinda ulawiti na utiwaji vilema binadamu wenzetu? Huu ni wakati wakawatambua viongozi wa dini waongo, wanafiki, watumishi wa shetani.

Kiongozi wa kweli wa dini, mtumishi wa Mungu, ni yule tu anaeukataa na kuupiga vita uovu. Tunatarajia viongozi wa kweli wa dini wakemee kwa nguvu zote matendo ya kishetani kama vile kuteka watu, kuwaua watu, kuwatesa watu, kuwalawiti watuhumiwa, na udhulumaji wa haki nyingine zote kuanzia zile dhidi ya haki ya kuishi mpaka haki za kuwachagua viongozi.

Kwa waumini, ni wakati wa kutambua kama unaongozwa na mtumishi wa Mungu, au mtafuta fursa kupitia dini.

KWA SASA TANZANIA HAKUNA AMANI.
 
Dawa ya wezi na waongo ndio hii wtz tukolezeee ikolee na iwaiingiee majizi ya CCM na kuyatoaa madarakan
FB_IMG_1749139137988.jpg
 
Kiongozi yeyote wa dini anayesema eti tulinde amani tuliyo nayo, ni kiongozi mnafiki, mwongo, anayetumika na waovu. Kiongozi wa namna hiyo tumpuuze.

Watu wanatekwa
Watu wanauawa
Watu wanapigwa, wanatiwa ulemavu wanatupwa maporini.

Watu wanakamatwa wanapigwa na kuawitiwa.

Halafu anatokea mtu mnafiki anasema eti tendelee kulinda amani iliyopo!! Yaani tuendelee kulinda utekaji, kulinda mauaji , tuendelee kulinda ulawiti na utiwaji vilema binadamu wenzetu? Huu ni wakati wakawatambua viongozi wa dini waongo, wanafiki, watumishi wa shetani.

Kiongozi wa kweli wa dini, mtumishi wa Mungu, ni yule tu anaeukataa na kuupiga vita uovu. Tunatarajia viongozi wa kweli wa dini wakemee kwa nguvu zote matendo ya kishetani kama vile kuteka watu, kuwaua watu, kuwatesa watu, kuwalawiti watuhumiwa, na udhulumaji wa haki nyingine zote kuanzia zile dhidi ya haki ya kuishi mpaka haki za kuwachagua viongozi.

Kwa waumini, ni wakati wa kutambua kama unaongozwa na mtumishi wa Mungu, au mtafuta fursa kupitia dini.

KWA SASA TANZANIA HAKUNA AMANI.
Ukikuta kiongozi wa dini hazungumzii kule AMANI inatoka ujue ni muhuni kama wahuni wengine tunaowafahamu Baba yake na AMANI anaitwa HAKI sasa uliona wapi mtoto anamzaa Baba yake?haiwezi kutokea kamwe yaani Eti HAKI hakuna Alafu AMANI ijipendekeze hakuna hakuna.
 
Hakika. Wote wanaoongelea amani bila kuongelea haki kwanza, ni watu wanafiki, ni wae wanaotaka wananchi wadhulumiwe haki zao lakini wasiwahoji wanaowadhulumu. Wanataka wananchi watekwe na wauawe lakini ndugu na watanzania wenzao wasikemee huo ushetani.

Kwa sasa, shetani mkuu yupo ikulu, hataki kusikia neno haki.
 
Dawa ya wezi na waongo ndio hii wtz tukolezeee ikolee na iwaiingiee majizi ya CCM na kuyatoaa madarakan View attachment 3359071
Tena yafaa kiongozi yeyote yule, awe wa dini, serikali, wa chama au kijamii, akitamka tu neno amani, wananchi waitikie kwa kupiga kelele na kusema HAKI.
 
Ingekua hamna amani ungepata muda wa kubonyeza vitufe kwenye keyboard? Si ungekua sahivi unahama nchi kwa miguu na debe lako la mahindi kichwani
 
Back
Top Bottom