GE2025 Viongozi wa dini Geita wasisitiza utunzaji wa amani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Viongozi wa dini mkoani Geita wamekemea vikali viashiria vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu kwa kuwataka watanzania kuendelea kuwapuuza baadhi ya watu wanaohamasisha vurugu kupitia mitandao ya Kijamii.

Your browser is not able to display this video.
 
Shame on them, hawa viongozi wa kidini wasitumike kisiasa mbuzi hawa! Kwani wameona nchi haina amani? Kama wanaona nchi haina amani wakemee hao wanaovunja amani kwa kusigina haki za wananchi, mbuzi hao waache unafiki
 
Amani ipi au ujinga?analipa kodi ktk nchi hii hadi awe na uchungu?
 
Viongozi wa dini mkoani Geita wamekemea vikali viashiria vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu kwa kuwataka watanzania kuendelea kuwapuuza baadhi ya watu wanaohamasisha vurugu kupitia mitandao ya Kijamii.

Hao ni wajinga wa wapi wasiojuwa maana ya amani ni nini?

Kuzuia UHALIFU ni kuvunja amani?

Uchaguzi usiokuwa HURU na wa HAKI siyo UHALIFU?

Hawa wamekwisha jazwa matumbo yao na pesa haramu; sasa wanaimba tu kama kasuku wafugwao.

Mtu unasimama unasema "Mama yetu, baba yetu ni Tanzania"... unaona mama yako/baba yako ananajisiwa bado unajitoa akili kichwani namna hiyo?
 
Shame on them, hawa viongozi wa kidini wasitumike kisiasa mbuzi hawa! Kwani wameona nchi haina amani? Kama wanaona nchi haina amani wakemee hao wanaovunja amani kwa kusigina haki za wananchi, mbuzi hao waache unafiki
Hii mijitu mingine mipumbavu inaimbishwa tu maneno bila hata ya kutafakari hayo maneno kwa nini yanatumika kwa ulagghai kuwapumbaza akili tu!

Swerikali inayo fanya maovu yote haya, wao bado wanaona kuna amani?
Wanataka hadi iweje ndipo wajue kwamba hakuna amani chini ya utawala huu wa Samia Suluhu Hassan na Genge lake.
Watu wanao lazimisha kubaki madarakani kwa nguvu; na sasa wanajiandaa kuwaua waTanzania mradi mipango yao ifanikiwe; bado hawa watu wajinga wanaona kukataa mipango hiyo ni kufanya vurugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…