Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Kanisa Katoliki Tanzania naomba mnijibu.
Nikifoji cheti cha ndoa au Kipaimara au Komunio au Ubatizo japo nilikuwa Mtoto (kwa ubatizo) na mkajua kabisa nimefoji, Je, adhabu yangu ni ipi?
Je, nitakaribishwa Kukomunika ? Au na mathalani niwe na cheo labda Mbunge au Mkuu wa Mkoa. Je, dhambi yangu ya kufoji italindwa na mamlaka yangu?
Je, kanisa Katoliki linatoa adhabu kulingana na status ya Mtu?
Naomba kujibiwa na Kiongozi yoyote wa Kanisa Katoliki aliyemo humu.
Superbug.