Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Hivi watukumeni ni watu gani ?Peleka swali lako kwa mwenyekiti wako wa Jumuiya. RC hatufanyi kazi na wakatukumeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi watukumeni ni watu gani ?Peleka swali lako kwa mwenyekiti wako wa Jumuiya. RC hatufanyi kazi na wakatukumeni.
Kuna paroko wetu hapa parokiani alienda kumzika dada yake tumbo moja, na alisindikizwa na mapadre wenzake kama ishirini. Lakini hakukuwapo misa wala ibada ya mazishi ya kikatoliki, ingawa marehemu dada alikuwa Mkatoliki aliyekuwa ameenda kinyume na mafundisho ya kanisa, na hao mapadre walihudhuria kama waombolezajiNa kwa kuwa umeliongelea hili la undugu naomba niulize. Ikiwa ndugu wa askofu au padri ana kikwazo kanisani, je kanisa litamkataza padri asimzike ndugu yake au upadri wake unawabeba hata ndugu zake?
Kama askofu au padre ana undugu na marehemu askofu au padre atakuja na kuendesha misa kama katikista na sivinginevyo.Okay sawa ndio maana nikasema sidhani kama hiyo ya uwepo wa askofu inamuongezea marehemu chochote kwenye hukumu yake huko aliko. Lakini kwa nini maaskofu wanajitokeza hasa kushiriki kwenye matukio yanayowahusu watu mashuhuri tu na sio kwa akina sisi wafia dini wa kawaida. Kwahiyo askofu aliyeendesha mazishi ya Komba alikuwa na undugu na Komba? Na kwa kuwa umeliongelea hili la undugu naomba niulize. Ikiwa ndugu wa askofu au padri ana kikwazo kanisani, je kanisa litamkataza padri asimzike ndugu yake au upadri wake unawabeba hata ndugu zake?
Ukifoji cheti cha shule je, unashitakiwa na shule au unashtakiwa na Serikali? Mamlaka za dini zimepewa dhamana ya kutoa cheti cha ndoa tu na pbaada ya hapo, dhamana ya ya yote yatakayooendelea kwenye cheti hicho inabaki mikononi mwa Serikali, wao wataendelea kubaki kama mashuhuda tu wa ushahidi wa kuwa waliwahi kutoa cheti hicho basiKanisa Katoliki Tanzania naomba mnijibu.
Nikifoji cheti cha ndoa au Kipaimara au Komunio au Ubatizo japo nilikuwa Mtoto (kwa ubatizo) na mkajua kabisa nimefoji, Je, adhabu yangu ni ipi?
Je, nitakaribishwa Kukomunika ? Au na mathalani niwe na cheo labda Mbunge au Mkuu wa Mkoa. Je, dhambi yangu ya kufoji italindwa na mamlaka yangu?
Je, kanisa Katoliki linatoa adhabu kulingana na status ya Mtu?
Naomba kujibiwa na Kiongozi yoyote wa Kanisa Katoliki aliyemo humu.
Superbug.
Kanisa Katoliki Tanzania naomba mnijibu.