😂😂😂😂😂 wkend ishanogaaNi simple, inaitishwa press pale bahari beach, unavuliwa vyeo vyote kisha unafutwa uanachama
😂😂DahNi simple, inaitishwa press pale bahari beach, unavuliwa vyeo vyote kisha unafutwa uanachama
Usicheze na wkend😂😂Dah
Unaweza kutimiza akidi hiyo ya maisha kwa kuoa kwa taratibu zozote nyingine. Sio lazima ndoa iwe ya kikatoliki.Akidi ya maisha itimie swali jingine...!
Unaweza kufuata taratibu nyingine zozote ili kutimiza akidi hiyo ya maisha. Sio lazima uoe kikatoliki ili utimize akidi hiyo. Na kama unataka kuoa kikatoliki basi fuata taratibu za kikatoliki. Ni suala la hiyari. Na kama unajiona huwezi kufuata taratibu zao basi kuna ndoa nyingi sana. Zipo za kimila, za kiserikali, za kiislamu nk. Kughushi ni kosa kisheria. Unaweza usihukumiwe na kanisa ukahukumiwa na serikali..Akidi ya maisha itimie swali jingine...!
Uenda akidi ya maisha anayotaka kuitimiza iko linked na ukatoliki na wanataka ndoa ambayo ni zao la kanisa Katoliki.Unaweza kutimiza akidi hiyo ya maisha kwa kuoa kwa taratibu zozote nyingine. Sio lazima ndoa iwe ya kikatoliki.
Unaweza kufuata taratibu nyingine zozote ili kutimiza akidi hiyo ya maisha. Sio lazima uoe kikatoliki ili utimize akidi hiyo. Na kama unataka kuoa kikatoliki basi fuata taratibu za kikatoliki. Ni suala la hiyari. Na kama unajiona huwezi kufuata taratibu zao basi kuna ndoa nyingi sana. Zipo za kimila, za kiserikali, za kiislamu nk. Kughushi ni kosa kisheria. Unaweza usihukumiwe na kanisa ukahukumiwa na serikali..
Yeye kauliza akifoji atapewa adhabu gani hilo ndiyo swali lakeUnaweza kutimiza akidi hiyo ya maisha kwa kuoa kwa taratibu zozote nyingine. Sio lazima ndoa iwe ya kikatoliki.
Unaweza kufuata taratibu nyingine zozote ili kutimiza akidi hiyo ya maisha. Sio lazima uoe kikatoliki ili utimize akidi hiyo. Na kama unataka kuoa kikatoliki basi fuata taratibu za kikatoliki. Ni suala la hiyari. Na kama unajiona huwezi kufuata taratibu zao basi kuna ndoa nyingi sana. Zipo za kimila, za kiserikali, za kiislamu nk. Kughushi ni kosa kisheria. Unaweza usihukumiwe na kanisa ukahukumiwa na serikali..
Serikali ikighushi inahukumiwa nanani?Unaweza kutimiza akidi hiyo ya maisha kwa kuoa kwa taratibu zozote nyingine. Sio lazima ndoa iwe ya kikatoliki.
Unaweza kufuata taratibu nyingine zozote ili kutimiza akidi hiyo ya maisha. Sio lazima uoe kikatoliki ili utimize akidi hiyo. Na kama unataka kuoa kikatoliki basi fuata taratibu za kikatoliki. Ni suala la hiyari. Na kama unajiona huwezi kufuata taratibu zao basi kuna ndoa nyingi sana. Zipo za kimila, za kiserikali, za kiislamu nk. Kughushi ni kosa kisheria. Unaweza usihukumiwe na kanisa ukahukumiwa na serikali..
Anasomewa AlbadirNaomba swali hili pia lijibiwe na waislamu je mtu akifoji muhuri wa mskiti au saini ya shehe mnafanyaje?