Viongozi wa Dini hususan Kanisa Katoliki, Je, nikifoji cheti cha ndoa na mkajua nimefoji mtanipa adhabu gani?

Na kwa kuwa umeliongelea hili la undugu naomba niulize. Ikiwa ndugu wa askofu au padri ana kikwazo kanisani, je kanisa litamkataza padri asimzike ndugu yake au upadri wake unawabeba hata ndugu zake?
Kuna paroko wetu hapa parokiani alienda kumzika dada yake tumbo moja, na alisindikizwa na mapadre wenzake kama ishirini. Lakini hakukuwapo misa wala ibada ya mazishi ya kikatoliki, ingawa marehemu dada alikuwa Mkatoliki aliyekuwa ameenda kinyume na mafundisho ya kanisa, na hao mapadre walihudhuria kama waombolezaji
 
Kama askofu au padre ana undugu na marehemu askofu au padre atakuja na kuendesha misa kama katikista na sivinginevyo.
 
Ukifoji cheti cha shule je, unashitakiwa na shule au unashtakiwa na Serikali? Mamlaka za dini zimepewa dhamana ya kutoa cheti cha ndoa tu na pbaada ya hapo, dhamana ya ya yote yatakayooendelea kwenye cheti hicho inabaki mikononi mwa Serikali, wao wataendelea kubaki kama mashuhuda tu wa ushahidi wa kuwa waliwahi kutoa cheti hicho basi
 
Huendi mbinguni mkuu😀, ati nini??

Everyday is Saturday................................😎
 

Kumbuka wewe ni MZUNGU!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…