DOKEZO Viongozi wa Dini kuunguruma kesho kuhusu suala la Bandari na DP World

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ikiwa ni siku moja baada ya Bunge la Tanzania kupitisha Azimio la Serikali kuingia Makubaliano na Kampuni ya DP World kuendesha bandari za Tanzania, inadaiwa kuwa Viongozi wa Dini wamejiandaa kutoa tamko zito kuhusu suala hilo hapo kesho.

Je, tutarajie nini kutoka kwa Viongozi hao?
1686513189085.png
 
Wafanye yanayowahusu huku ni ya serikali na kunautaratibu wake.

Kondoo wanawashinda huko
Tena Wakae kwa kutulua.
 
Kama ni watanzania,usitarajie jipya.Wengi wana ubinafsi mkubwa sana na wako upande wa serikali.
Sana sana watawaambia wanaolalamika waache wivu kinachowasumbua ni umaskini.Niko palee!
 
Bora wakae kimya hakuna asiyejua kuwa watakuja kuunga mkono hoja ili waendelee kujikomba Kwa serikali...Dini imepoteza mvuto na msimamo katika kutetea wananchi....wananchi wameamka na wananchi hawajaliunga mkono jambo..
 
Mama leo
Ikiwa ni siku moja baada ya Bunge la Tanzania kupitisha Azimio la Serikali kuingia Makubaliano na Kampuni ya DP World kuendesha bandari za Tanzania, inadaiwa kuwa Viongozi wa Dini wamejiandaa kutoa tamko zito kuhusu suala hilo hapo kesho.

Je, tutarajie nini kutoka kwa Viongozi hao?
Mh.Rais Ametoa na sadaka ya SHUKRANI halafu utegemee watasema kinyume
 
Back
Top Bottom