Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Viongozi wa dini wa aina ya shehe wa Darisalama Alhadi Musa Salum, Kadinali Pengo, Gwajima nk. Naona Sasa mioyo yenu imetulia mmepata amani ya moyo baada ya mlichokipambania kutimia.
Naona baada ya kuhakikisha kuwa upinzani makini umekufa mioyo yenu imetulia sasa mnajiandaa kula matunda ya chama kimoja enzi za Mwalimu.
Mapungufu yoyote yatakayojitokeza ndani ya huu mfumo mliouasisi msije mkalalamika maana mliuasisi na kuubariki mkijua mnaikomoa CHADEMA na Lissu kumbe mmechimba shimo la kaburi la kutuangamiza sote kama taifa.
Sasa tuone hiyo tija itakayoletwa na mbunge mmoja wa CHADEMA na wa CUF vs Mbowe, Sugu, Mdee Lema, Lissu, Heche, Matiko, Msigwa et Al.
Kama mlidhani mnamkomoa Lissu sasa subirini nature ijibu mapigo.
Superbug.