Viongozi wa dini mlioisapoti CCM naona sasa akili na mioyo yenu imetulia baada ya sauti kuu za mawazo tofauti na CCM kuondolewa bungeni

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Viongozi wa dini wa aina ya shehe wa Darisalama Alhadi Musa Salum, Kadinali Pengo, Gwajima nk. Naona Sasa mioyo yenu imetulia mmepata amani ya moyo baada ya mlichokipambania kutimia.

Naona baada ya kuhakikisha kuwa upinzani makini umekufa mioyo yenu imetulia sasa mnajiandaa kula matunda ya chama kimoja enzi za Mwalimu.

Mapungufu yoyote yatakayojitokeza ndani ya huu mfumo mliouasisi msije mkalalamika maana mliuasisi na kuubariki mkijua mnaikomoa CHADEMA na Lissu kumbe mmechimba shimo la kaburi la kutuangamiza sote kama taifa.

Sasa tuone hiyo tija itakayoletwa na mbunge mmoja wa CHADEMA na wa CUF vs Mbowe, Sugu, Mdee Lema, Lissu, Heche, Matiko, Msigwa et Al.

Kama mlidhani mnamkomoa Lissu sasa subirini nature ijibu mapigo.

Superbug.
 
Nimeona leo wanaomba eti internet isifunguliwe tubaki hivi hivi, yaaani nashindwa kuelewa hawa viongozi wana nini kwenye vichwa vyao jamaniiii, ina maana hawajui sisi wengine kula yetu ni mitandao na sio mashabiki wa siasa kama wao.
 
Wakija kosa sadaka makanisani na misikitini ndipo akili zitawakaa sawa,hawapati ubwabwa tena
 
Viongozi wa dini wa sasa wamejaa unafiki, hawapo tayari kuisema kweli na kuisimamia haki. Kwao sadaka ni bora kuliko haki kwa wanadamu walioumbwa kwa mfano wa Mungu.
 
Na Tb Joshua nae niliskia angekuwepo siku ya kuapishwa....ni kweli hivi alikuja?
 
Viongozi wa dini wa aina ya shehe wa Darisalama Alhadi Musa Salum, Kadinali Pengo, Gwajima nk. Naona Sasa mioyo yenu imetulia mmepata amani ya moyo baada ya mlichokipambania kutimia.

Naona baada ya kuhakikisha kuwa upinzani makini umekufa mioyo yenu imetulia sasa mnajiandaa kula matunda ya chama kimoja enzi za Mwalimu.

Mapungufu yoyote yatakayojitokeza ndani ya huu mfumo mliouasisi msije mkalalamika maana mliuasisi na kuubariki mkijua mnaikomoa CHADEMA na Lissu kumbe mmechimba shimo la kaburi la kutuangamiza sote kama taifa.

Sasa tuone hiyo tija itakayoletwa na mbunge mmoja wa CHADEMA na wa CUF vs Mbowe, Sugu, Mdee Lema, Lissu, Heche, Matiko, Msigwa et Al.

Kama mlidhani mnamkomoa Lissu sasa subirini nature ijibu mapigo.

Superbug.
Umeongea mazito.
Uzi huu utafukuliwa sana siku sio nyingi

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Ulitaka wamuunge mkono lissu wakati aliwatukana hadharani na kuwaita idiots, na nyie wafuasi wake mkamshangilia? Sasa nakuja kulalama baada ya mambo kuwaendea mrama!
 
Uzi huu unawahusu Mbatia na NCCR yake pia maana nayeye walimla kichwa shetani Hana rafiki.
 
Ukiwa nyinyiem hata kama ukiwa na uwezo mkubwa wa kifikiri kiasi gani lazima uwe zuzu tu....1+1=11 thithiemu bwaana.
Ulitaka wamuunge mkono lissu wakati aliwatukana hadharani na kuwaita idiots, na nyie wafuasi wake mkamshangilia? Sasa nakuja kulalama baada ya mambo kuwaendea mrama!
 
Viongozi wa dini wa aina ya shehe wa Darisalama Alhadi Musa Salum, Kadinali Pengo, Gwajima nk. Naona Sasa mioyo yenu imetulia mmepata amani ya moyo baada ya mlichokipambania kutimia.

Naona baada ya kuhakikisha kuwa upinzani makini umekufa mioyo yenu imetulia sasa mnajiandaa kula matunda ya chama kimoja enzi za Mwalimu.

Mapungufu yoyote yatakayojitokeza ndani ya huu mfumo mliouasisi msije mkalalamika maana mliuasisi na kuubariki mkijua mnaikomoa CHADEMA na Lissu kumbe mmechimba shimo la kaburi la kutuangamiza sote kama taifa.

Sasa tuone hiyo tija itakayoletwa na mbunge mmoja wa CHADEMA na wa CUF vs Mbowe, Sugu, Mdee Lema, Lissu, Heche, Matiko, Msigwa et Al.

Kama mlidhani mnamkomoa Lissu sasa subirini nature ijibu mapigo.

Superbug.
Mwenyezi Mungu kawaumbua viongozi matapeli wa dini na bado mkono wa Mungu utawafuata Mpaka wanaingia kabulini , na Mungu ametufanya tuwatambua viongozi wa dini Ni kina na nani ? Na matapeli kina Nani kupitia uchaguzi huu mkuu . Viongozi wa dini Ni Bagonza , Mwamakula , Shoo na Pengo wengine wote ikiwemo Tec , Bakwata Ni wajasilia dini walioungana na mmwaga damu za watanzania wakambatiki na kumbariki na kumsifia juu .
 
Back
Top Bottom