LGE2024 Viongozi wa dini msichoke kukemea haya ya uchaguzi, semeni kwa sauti kubwa mpaka Mkuu wa nchi asikie

LGE2024 Viongozi wa dini msichoke kukemea haya ya uchaguzi, semeni kwa sauti kubwa mpaka Mkuu wa nchi asikie

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Msichoke, kila hatua ikemeeni kama haitendi haki.

sasa kampeni , wapinzani wanaonewa sana, serikali , polisi for that matter, imeonesha ushenzi mkubwa.

Wakemeeni na kumtanguliza mungu wa Mbinguni awaadhibu weye dhambi ya madaraka
 
Unaamini mkuu wa nchi hajui? Kama wewe unajua haiwezekani yeye asijue!

Vv
 
Kabisa mambo yanayoendelea ni ubatili mkubwa.
 
Back
Top Bottom