Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vipi!
Jana nimesikia maombi ya viongozi wa dini kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kiukweli kinachoonekana hapo nikwamba baadhi ya viongozi wa dini ni wanasiasa wenye mrengo fulani, lakini namuona kiongozi mmoja wa dini ambaye ndio, aliyepanga huo makakati kwa lengo la kumuombea msamaha ndugu yake kwa maslahi ya jamaa zao na chama chao na sio msamaha unaoheshimi maslahi ya taifa na usalama kwa ujumla.
Tafsiri wanaota kakutengeneza kupitia msamaha huu ni kwamba:
1. Kunawatu wakifanya kosa hawezi kufungwa ndani ya nchi hii kwasababu atetewa na wanaharakati fulani,vyombo vya habari na viongozi wa dini wenye mrengo wa upande ule.
Namuomba Rais awe makini na huo msamaha uliyochomekewa na kiongozi mmoja wa dini aliyejificha nyuma. Lengo lake ni kutumia taasisi ya dini vibaya kwa maslahi ya jamaa zake na kutetea viongozi wa chama fulani, hata kipindi cha marehemu Magufuli alikuwa akitofautiana naye sana.
2. Msamaha huu utaleta tafsiri yakwamba mahakama zetu zinaweza kuingiliwa na muhimili mwingine na kufanya chochote.
3. Itahalalisha yale madai kutoka upande ule yakwamba rais amemtengenezea mbowe kesi na baada hapo tarumbeta na makelele ya kutangazia ulimwengu yakwamba ni kweli ni kesi ya kubumba zitakuwa zikiongezeka sana.
4. Rais utaonyesha yakwamba hakuna equality and fair katika mahakama zetu kwasababu kuna watu wengine wanaweza kufanya kosa akachomolewa kisiasa.
5. Utakuwa umewaabisha na kuwavunja moyo jamhuri, hivyo jamhuri itaonekana mbele ya macho ya jamii yakwamba kesi zao zote ni za kubumba.
Hakuna nafasi ya busara mbele ya kesi iliyofikishwa mbele ya mahakama, mahakama ipewe uhuru wake.
Tukirudi kwenye sheria za imani,siamini kama mtu mashuhuri akivunja amri za mwenyezi Mungu, basi walimwengu wakimtetee basi sheria ya mwenyezi Mungu itakanyagwa ili kumnusuru. Hapana tena nasema hapana, hakuna aliye juu ya sheria. Mahakama ipewe uhuru wa kufanya maamuzi.
NB. Mhalifu ni mhalifu tu hata atetewe na ulimwengu wote, mhalifu adhibiwe ili iwefundisho kwa vizazi na vizazi.