Viongozi wa dini msitumie taasisi za kidini kumtetea mhalifu

Viongozi wa dini wa Karne hii ni wa mchongo kwa wamekuwa akidanganya hiyo hiyo selikali huduma wanazotoa kwa kwa jamii ni kwa ajili ya usaidizi wa jamii kwenye afya na elimu ili wapate misamaha ya Kodi ikuenda kwenye huduma zao Sasa za afya na elimu bei lazima upigwe na kitu kizito kichwani wakati huku walipata misamaha ya Kodi tasisi za kidin zimekuwa za michongo na nawakumbusha tu kesi ishakuwa mahakani rais hawezi ingilia Hadi kesi itolewe maamuzi na mahakama na shauri kuisha kabisa mahakamani na Kila tasisi ya dini tunaidai Kodi ilipe tuna Mambo mengi ya kufanya hata mkitana tra wanataka Kodi yao tu ndo maana waliowapa tn namba mnafanya biashara
 
Innocent until proven guilty, ni mshukiwa(suspect) mpaka mahakama itakapoamua.
Mhalifu ni yule ambaye ameshakutwa na hatia kama ilivyo kwa Jambazi Sabaya, ule utaratibu wa elimu ya wazima unahitajika sana ili kupunguza idadi ya mbumbumbu.
 
Subiri aanze kujitetea
 
Vipi Dogo DPP kakosa ushahidi au ??
Tuliwaambia hamkusikia akili ndogo haiwezi shinda akili kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…