Uchaguzi 2020 Viongozi wa Dini Mungu anawaona! Yanayoendelea hamyaoni?

Uchaguzi 2020 Viongozi wa Dini Mungu anawaona! Yanayoendelea hamyaoni?

Wao walishasema wanamuunga mkono magu.msipoteze muda kuhangaika nao
 
Viongozi walio bakia nchii hii ni wale uamsho na shekhe ponda wale waliobakia wote niwaungajuhudi kwenda kupokea pesa za msikiti zilizo changishwa makanisani na kupokea bahasha njaa inawasumbua halafu wanajita viongozi was dini
 
Back
Top Bottom