Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Hivi hawa viongozi wetu wamepatwa na nini ndugu zanguni? Inasikitisha sana.
Jioni ya leo nimekutana na moja ya dhehebu katika pita pita zangu, ikabidi niingie japo niiburudishe nafsi. Mara pap ni muda wa sifa. Wimbo uliokuwa unaimbwa umeniacha mdomo wazi. Cha kushangaza waumini wanaimba vizuru tu, kwa kujiamini na furaha tele.
Baada ya kufuatilia, naambiwa wimbo kaimba mchungaji kwa ajili ya kanisa lake.
Nilijikuta najionea aibu mwenyewe baada ya kumuona mwanaume anayeonekana kuwa baba wa familia akiufuatisha wimbo huo kwa furaha zote.
Nasubiri kuulizwa video iko wapi niiweke hapa hapa kwa comment, maake ni aibu sana kukaa hapa juu