kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Wameshindwa kunyoosha kwamba walikuwa kukemea mapepo(ulonzi) ndani ubodaboda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu alikuwa akitoa pepo aliwaambia wasifanye dhambi tena unajua kwanini?Yesu nae alikuwa mfanyabiashara? Maana nae alitoa pepo
Ukiguswa tu unakimbilia kwa modsGENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE kiboko ya Wapumbavu, Washamba na Wapumbavu wote hapa duniani na hadi Ahera!!!
Naunga mkono hojaHawa wachungaji walitakiwa wawepo mirembe sema ndio hivyo tu🤔
Umesema Rc hawafanyi biashara ndio mana hawatoi mapepo.Yesu alikuwa akitoa pepo aliwaambia wasifanye dhambi tena unajua kwanini?
Unajua kwanini makanisa ya kinabii hawafundishi watu kuacha dhambi zao?
Jini huwa hatoki kwa mtu asiyeacha dhambi kwahiyo nabii anajua ata akikutoa pepo wewe bado ni mtaji wake utaendelea kutegemea maji yake na udongo wake ma
Nilishakujibu swali lako kuwa watoaji wengi wa mapepo ni wafanyabiashara sipingi wachungaji kutoa mapepo ila ata Yesu alitusihi kuwatambua watoaji mapepo feki watajifananisha na Kriso nao watadanganya wengiUmesema Rc hawafanyi biashara ndio mana hawatoi mapepo.
Nimeuliza kama kutoa pepo ni biashara, Je na Yesu alikuwa mfanyabiashara?
Wewe ulishawahi kuona RC wanatoa watu mapepo unajua kwanini?
Watoaji mapepo asilimia kubwa ni wafanyabiashara
Marko 3:15Nilishakujibu swali lako kuwa watoaji wengi wa mapepo ni wafanyabiashara sipingi wachungaji kutoa mapepo ila ata Yesu alitusihi kuwatambua watoaji mapepo feki watajifananisha na Kriso nao watadanganya wengi
Em fafanua.Mtu mwenye akili timamu hawezi kupanda bodaboda
Na suala la akili timamu linahusiana na kiwango chako cha maisha unachoishi
Rubbish and Nonsensical.Ukiguswa tu unakimbilia kwa mods
Tatizo la watupe waliokimbia seminary hili
MwandamoRubbish and Nonsensical.
wa Waliokuzaa.Mwandamo