Viongozi wa dini wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali

Viongozi wa dini wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali

Yesu nae alikuwa mfanyabiashara? Maana nae alitoa pepo
Yesu alikuwa akitoa pepo aliwaambia wasifanye dhambi tena unajua kwanini?
Unajua kwanini makanisa ya kinabii hawafundishi watu kuacha dhambi zao?
Jini huwa hatoki kwa mtu asiyeacha dhambi kwahiyo nabii anajua ata akikutoa pepo wewe bado ni mtaji wake utaendelea kutegemea maji yake na udongo wake ma
 
Yani mtu kavuta mwenyewe bangi na ugoro kautia machoni then Hana hata kofia kichwani, anatembea njia nzima utadhani Yuko na fighter jet angani, huyo nae umuombee, eti Kuna jini?...Kuna madereva wa magari, dereva Yuko na gari spidi kali halafu anaangalia video hizi wanaita connection au anachati na mchepuko wake, huyu nae aombewe kuwa Kuna jini limemvunja kiuno barabarani!.
 
Viongozi was dini sio wajinga!

Wameliona Hilo linakuja,maombi hayo yanaweza kuhalalisha uwepo wa.ajali hizo mbeleni au ajali kutokuwepo !
 
GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE kiboko ya Wapumbavu, Washamba na Wapumbavu wote hapa duniani na hadi Ahera!!!
Ukiguswa tu unakimbilia kwa mods

Tatizo la watupe waliokimbia seminary hili
 
Yesu alikuwa akitoa pepo aliwaambia wasifanye dhambi tena unajua kwanini?
Unajua kwanini makanisa ya kinabii hawafundishi watu kuacha dhambi zao?
Jini huwa hatoki kwa mtu asiyeacha dhambi kwahiyo nabii anajua ata akikutoa pepo wewe bado ni mtaji wake utaendelea kutegemea maji yake na udongo wake ma
Umesema Rc hawafanyi biashara ndio mana hawatoi mapepo.
Nimeuliza kama kutoa pepo ni biashara, Je na Yesu alikuwa mfanyabiashara?
 
Umesema Rc hawafanyi biashara ndio mana hawatoi mapepo.
Nimeuliza kama kutoa pepo ni biashara, Je na Yesu alikuwa mfanyabiashara?
Nilishakujibu swali lako kuwa watoaji wengi wa mapepo ni wafanyabiashara sipingi wachungaji kutoa mapepo ila ata Yesu alitusihi kuwatambua watoaji mapepo feki watajifananisha na Kriso nao watadanganya wengi
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kupanda bodaboda
Na suala la akili timamu linahusiana na kiwango chako cha maisha unachoishi
 
Wewe ulishawahi kuona RC wanatoa watu mapepo unajua kwanini?
Watoaji mapepo asilimia kubwa ni wafanyabiashara

Nilishakujibu swali lako kuwa watoaji wengi wa mapepo ni wafanyabiashara sipingi wachungaji kutoa mapepo ila ata Yesu alitusihi kuwatambua watoaji mapepo feki watajifananisha na Kriso nao watadanganya wengi
Marko 3:15
 
Kuna series moja ya kikorea inaitwa "crush" kuna epsod kuna jamaa walikua wanasababisha ajari sehemu moja kwenye kona kali na wakaeneza propaganda kua eneo lile lina mizimu ndo inaangusha magari.

Na wajinga wale walikua na mzimu feki unaojitokeza barabarani gafla dereva anakosa umakini, anaangusha chombo.
Wao wanakuja chap kuinua gari, na kuipeleka garage yao ya karibu waitengeneze ama lah uwaungishe maana wanauza magari pia.

Polisi walifanya uchunguzi yakinifu na wakajua kua hata huo mzimu haupo, wale jamaa walikua na trick kibao kuangusha magari, kijiji cha jirani raia yeyote ukimuuliza anakwambia pale kuna mzimu.

Hapa kwetu, tunaombea, hatutafuti source ati ni pepo chafu.
 
Back
Top Bottom