Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Viongozi wa dini wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi mbalimbali zinazotekelezwa na Serikali, wakisema mafanikio hayo yanaonekana na kugusa maisha ya wananchi.
“Kazi umeifanya, imeonekana,” viongozi hao wamesema, wakimpongeza Rais Samia kwa namna anavyoendelea kuiongoza nchi.
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itaendelea kuenzi mchango wa madhehebu yote ya dini, tunawahakikishia ushirikiano
Sisi kama viongozi tunaomba kutoa rai kwa wananchi kwamba hakika ni wakati wa kufanya maendeleo vijana..."
(Mithali 31:31)
"...Biblia inasema kwamba Mungu anabariki kazi za mikono yetu lakini zaidi ya yote Methali 3131 inasema apewe mapato ya mikono yake na matendo yake yamsifu malangoni..