Viongozi wa Dini wampa hongera Rais Samia, 'Kazi umeifanya, imeonekana'

Viongozi wa Dini wampa hongera Rais Samia, 'Kazi umeifanya, imeonekana'

Siku hizi kuna viongozi wa dini wenye taasisi zisizo na wafuasi wanaofika 100.
 
Viongozi wa dini wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi mbalimbali zinazotekelezwa na Serikali, wakisema mafanikio hayo yanaonekana na kugusa maisha ya wananchi.

“Kazi umeifanya, imeonekana,” viongozi hao wamesema, wakimpongeza Rais Samia kwa namna anavyoendelea kuiongoza nchi.

Soma Pia: Rais Samia: Serikali itaendelea kuenzi mchango wa madhehebu yote ya dini, tunawahakikishia ushirikiano

Sisi kama viongozi tunaomba kutoa rai kwa wananchi kwamba hakika ni wakati wa kufanya maendeleo vijana...
"
(Mithali 31:31)
"...Biblia inasema kwamba Mungu anabariki kazi za mikono yetu lakini zaidi ya yote Methali 3131 inasema apewe mapato ya mikono yake na matendo yake yamsifu malangoni..

Uwe unasema viongozi wa dini ghani
Au unapenda UNAAAAAAA!?
 
Hongera kwenu viongozi wa dini
Iombeeni mahakama pia itende haki kwa kumpa kifungo au kitanzi yule mhaini tundu lisu
 
TEC walimpongeza kwa lipi!
Wameenda kuteta naye yasiyojulikana ...yakiwa kwenye kurasa NNE....Na wakasema tusubiri majibu ya yasiyojulikana....Serikali itayafanyia kazi yote yasiyo julikana
 
Wameenda kuteta naye yasiyojulikana ...yakiwa kwenye kurasa NNE....Na wakasema tusubiri majibu ya yasiyojulikana....Serikali itayafanyia kazi yote yasiyo julikana
Ooh! Ndizo pongezi hizo?
 
Hii project wakati wa JPM ilionekana white elephant project. Imekaa vizuri inazinduliwa mara mbili mbili.

Mwakani tena tutarudi kuzindua tena 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom