Viongozi wa Dini wampa hongera Rais Samia, 'Kazi umeifanya, imeonekana'

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Viongozi wa dini wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi mbalimbali zinazotekelezwa na Serikali, wakisema mafanikio hayo yanaonekana na kugusa maisha ya wananchi.

“Kazi umeifanya, imeonekana,” viongozi hao wamesema, wakimpongeza Rais Samia kwa namna anavyoendelea kuiongoza nchi.

Soma Pia: Rais Samia: Serikali itaendelea kuenzi mchango wa madhehebu yote ya dini, tunawahakikishia ushirikiano

Sisi kama viongozi tunaomba kutoa rai kwa wananchi kwamba hakika ni wakati wa kufanya maendeleo vijana...
"
(Mithali 31:31)
"...Biblia inasema kwamba Mungu anabariki kazi za mikono yetu lakini zaidi ya yote Methali 3131 inasema apewe mapato ya mikono yake na matendo yake yamsifu malangoni..

Your browser is not able to display this video.
 
1 Timotheo 4:1-2
Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;
 
Faki them bi+ches!
 
 

Attachments

  • 1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 9
viongozi wa dini gani? nani aliwapa uongozi huo? takataka self proclaimed viongozi wa dini. Takataka mavi
 
well done viongozi wa dini 🤝
 
Wao wenyewe kwanza ni HARAMU viongozi wa kike wadini hata maandiko yamekataza
 
TEC wameongoza ...wengine wanafuata..sasa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…