ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Viongozi wa dini mnaalikwa kwenye matukio mengi ya kitaifa mnakaa meza moja na wakubwa kweli mnashindwa kuteta na waheshimiwa ili Basata iwaite wasanii na kuwaomba wapunguze matusi kwenye nyimbo zao ili kunusuru taifa watoto wasiharibikiwe kimaadili.
Mtu anaimba mkanda, mkende, mkindi, mkondo..... Lazima watoto watamalizia hiyo unawajengea picha mbaya kichwani wanaona kama wasanii wanaimba sijui mambo ya nyege na wanafanya kazi na viongozi wanakubalika mwisho wanaona kumbe ngono inakubalika. Taifa la hovyo sana lisilowajibika kuwafanya walau hata watoto wawe na hofu na Mungu.