Ukisema viongozi wa dini Kwa tafsiri ya kawaida ni watawala wa dini.
Vitoto vidogo sahv ni mwendo kunyanduana tu,
Ova
Hatari sana
Ova
Viongozi wa dini mnaalikwa kwenye matukio mengi ya kitaifa mnakaa meza moja na wakubwa kweli mnashindwa kuteta na waheshimiwa ili Basata iwaite wasanii na kuwaomba wapunguze matusi kwenye nyimbo zao ili kunusuru taifa watoto wasiharibikiwe kimaadili.
Mtu anaimba mkanda, mkende, mkindi, mkondo..... Lazima watoto watamalizia hiyo unawajengea picha mbaya kichwani wanaona kama wasanii wanaimba sijui mambo ya nyege na wanafanya kazi na viongozi wanakubalika mwisho wanaona kumbe ngono inakubalika. Taifa la hovyo sana lisilowajibika kuwafanya walau hata watoto wawe na hofu na Mungu.
Ulisema viongozi wa dini unamaanisha watawala wa dini.
Watawala wa dini wengi wamewekwa na watawala wa Serikali ili kuwaweka watu chini ya miguu ya watawala wa Dunia .
Watawala wa dini wanahofia pia nafasi zao walizofanyiwa mipango na watawala wa Dunia na wakati mwingine hata maslahi Yao yanapatikkana Kwa wingi kupitia watawala wa Dunia.
Viongozi wa dini au watawala wa dini wamewekwa mahususi Kwa ajili ya kudhibiti dini ili zisiwe na nguvu kubwa ya kiMungu na kuhatarisha maisha ya wahalifu ambao wengi ni watawala wa Dunia na magenge Yao ya Biashara haramu za kitaifa na kimataifa.
Mfano Dini zote zinakataza Mwanamke kumtawala mwanaume achilia mbali kutawala Majeshi na ardhi yote Kwa maana ya rasilimali zilizopo na usimamizi wa Sheria zote .
Huo ni msimamo wa dini na vitabu vya dini lakini msimamo wa Watawala wa Dunia Mwanamke akiwezeshwa anaweza kumtawala mwanaume na hata nchi.
Kwa mfumo Huo ambao chimbuko lake ni la kiImani na lingine la kidunia.
Imani ikajikuta inawekwa chini ya Watawala wa Dini na Dunia ili kudhibiti vinywa vya Watu wanaosaimamia Imani na asili ya uumbaji wa Mungu Kwa utaratibu mwema.
Watawala ni watu walijiweka juu ya Sheria waliozitunga na kuzipa nguvu kubwa Kwa ajili ya kuwadhibiti wanadamu na kuwasimamia katika Imani zao ili wasije wakamulika uovu wao.
Viongozi wa dini wanaanglia maslahi Yao pia Kwa ajili ya kuhudumia familia zao kama walivyo watu wengine. Na pia wanatafita Connection Kwa watawala wa Dunia ili mambo Yao yaende vizuri.
Hakuna Tena mtu anayejali kuhusu Maadili Kwa ujumla wake .
Kila mtu anaangalia maisha yake na watoto wake .
Ulishindwa kulea watoto wako shauri yako na Taifa la kesho litajijua lenyewe.
Ni rahisi Mtawala wa Dini kumwalika hata shetani kwenye inada alimradi amletee pesa nyingi au ampe jina kwenye Media kuliko kuwaalika malaika watakao kuja kuleta utakatifu ndani ya ibada.
Nchi na Dunia Kwa ujumla wake imekengeuka na inatawaliwa na wahalifu na waasi wa Imani.