ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kama wameshindwa kuwazuia kina mwijaku kutuaibisha wanaume wataweza kwenye nyimbo? Yani wanaume Tanzania tunapitia wakati mgumu sana. Aibu tunaona sisi.Viongozi wa dini mnaalikwa kwenye matukio mengi ya kitaifa mnakaa meza moja na wakubwa kweli mnashindwa kuteta na waheshimiwa ili Basata iwaite wasanii na kuwaomba wapunguze matusi kwenye nyimbo zao ili kunusuru taifa watoto wasiharibikiwe kimaadili.
Mtu anaimba mkanda, mkende, mkindi, mkondo..... Lazima watoto watamalizia hiyo unawajengea picha mbaya kichwani wanaona kama wasanii wanaimba sijui mambo ya nyege na wanafanya kazi na viongozi wanakubalika mwisho wanaona kumbe ngono inakubalika. Taifa la hovyo sana lisilowajibika kuwafanya walau hata watoto wawe na hofu na Mungu.
Wewe unashangaa hilo huko arusha Leo watu wanaitwa wadudu mbele ya makamo wa rais na wanashangilia. Tunapoenda siko kabisaViongozi wa dini mnaalikwa kwenye matukio mengi ya kitaifa mnakaa meza moja na wakubwa kweli mnashindwa kuteta na waheshimiwa ili Basata iwaite wasanii na kuwaomba wapunguze matusi kwenye nyimbo zao ili kunusuru taifa watoto wasiharibikiwe kimaadili.
Mtu anaimba mkanda, mkende, mkindi, mkondo..... Lazima watoto watamalizia hiyo unawajengea picha mbaya kichwani wanaona kama wasanii wanaimba sijui mambo ya nyege na wanafanya kazi na viongozi wanakubalika mwisho wanaona kumbe ngono inakubalika. Taifa la hovyo sana lisilowajibika kuwafanya walau hata watoto wawe na hofu na Mungu.
Naona Kwenye clip wanaonyesha Yale maziwa ya wanawake yakiachiwa kutoka Kwenye sidiria yanashuka hadi kitovuni.Hivi matikiti kudondoka maan yake nini msaada tafadhali
Kizazi cha dot com ndio wanafurahia huo ujinga ujinga wa matusi smart hatari sana
Serikali inawakombatia sana haoWaimba matusi wanajulikana, WCB yote
Wawazuie hao
Kisha wapige marufuku Singeli
Inastaajabisha msanii anaimba mambo za ufirauni na baadae anaalikwa na mtume sijui nabii kanisani..Waimba matusi wanajulikana, WCB yote
Wawazuie hao
Kisha wapige marufuku Singeli
Taifa linazidi kuzalisha mitoto hasara tu,mitoto kutwa kukatika
Miuno
Ova
Sana yaani wanaonekana ni untouchable kama vile lebo zao mawaziri Wana hisa
Wanachoimba wale asilimia tisini ni sexNaona Kwenye clip wanaonyesha Yale maziwa ya wanawake yakiachiwa kutoka Kwenye sidiria yanashuka hadi kitovuni.
Vyombo vyenyewe vya muziki vilikuwa vinatoa sauti yenye kusikika vema na kueleweka?Na Je,huwa kuna ulazima wa kuwaalika wanaopiga muziki(wasanii)wa kisela?Kuita bendi za muziki wenye jumbe murua na tumbuizo mwanana wamekwama siku hizi?Vipi kuhusu ..."nenda mbele sendemaaa...rudi nyuma sendemaaa!Kushoto kulia sendemaaaa"...!Viongozi wa dini mnaalikwa kwenye matukio mengi ya kitaifa mnakaa meza moja na wakubwa kweli mnashindwa kuteta na waheshimiwa ili Basata iwaite wasanii na kuwaomba wapunguze matusi kwenye nyimbo zao ili kunusuru taifa watoto wasiharibikiwe kimaadili.