comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Tulio rohoni tunaelewa shida sio kutomkubaliNi kutomkubali tuu malkia?? Inamaana upande wa dini ile wote wanamkubali mtu wao??.
Viongozi wa dini ya kikristo ambao hawafuati maelekezo ya malkia wanakiona cha moto, naanza kuamini ile barua ya mange kimambi japo Msigwa aliikanusha lakini sasahivi yanatendeka yaleyale.
View attachment 3486511
Yule wa Zanzibar unajua chanzo?Mbona ni pande zote tu wana tekwa na kupoteza, rejea shekhe wa Zanzibar.
badala ya kuanza kugawa maumivu kwa dini uchwara, tunge jikita kukemea na kutafuta njia ya kuzuia madhara zaidi.
Kuna uzi hapa nliandika, kuna upande ukishindwa wasioamini Mungu watazidi kuongezekaTulio rohoni tunaelewa shida sio kutomkubali
Kipo kitu nyuma yake kililikuwa kinapangwa ila waombqji walijua zamani wakawa wanakipangua ,actually tunaendelea kupanguq,ndo maana unaona hii vita i ayoendelea usidhani ni kawaida
Hii ni giza Vs Nuru,ni kuzimu Vs Mungu
tushanyang'a kiti muda wala hawana tena spiritually unayoyaona ni ,last kick of a dying horse.....
Tunaongea uhalisia, vita ni ya wote lakin ukweli lazima usemweKwahio hii vita ishakuwa ya Viongozi wa Dini fulani na sio Vita dhidi ya Mambo fulani ?!!!
Na hao wanaokimbia nchi kwamba matatizo haya ni ya kwao tu (wao ndio wanashikwa) au na wengine pia hivyo kukimbia kwao ni kwa mchungaji kuwaacha kondoo ?!!!
Mnacheza kwenye hands of the Devil (Divide and Rule) hapo kwa kufahamu au kutokufahamu ushapunguza idadi kubwa ya watanzania katika vita hivi ambavyo vinawakabili wote kwa kuleta utofauti (WAO na SISI) na sio SISI (Binadamu Watanzania);
Yes ,ni sawaKuna uzi hapa nliandika, kuna upande ukishindwa wasioamini Mungu watazidi kuongezeka
Haya majambazi hayaangilii ni nani na ana imani gani bali ni nani ambaye hayipo aligned na their motives - Hivyo wanafanya wanayofanya hata kama ni Kabila lolote au Imani yoyote...; katika kutofautisha huyu na yule ni katika kujaribu kusema Muislamu anawaonea Wakristu hivyo Muislamu akinyooshwa Mkristu akae kimya an vice versa....Tunaongea uhalisia, vita ni ya wote lakin ukweli lazima usemwe
Wewe unadhani wakiristo wanawapenda waislamu?wakiristo siwapendi
Mayor Quimby na Kiranga wame sema sana humu kuwa watanzania wengi hamjui kuchambua mambo kwa uhalisia, mna endeshwa na hisia plus mihemuko ya mawazo yenu.Tunaongea uhalisia, vita ni ya wote lakin ukweli lazima usemwe
hatuwapendi ndiomana tunawaongoza kinguvu makafiri nyie.duniani mtateseka na mbinguni mtachomwa moto. nyie siwabishii?Wewe unadhani wakiristo wanawapenda waislamu?
Wabongo wengi ni wadini sana.Mayor Quimby na Kiranga wame sema sana humu kuwa watanzania wengi hamjui kuchambua mambo kwa uhalisia, mna endeshwa na hisia plus mihemuko ya mawazo yenu.
suala la mauaji yana fanyika kila siku, hawajali wewe ni mkristu, muislam au mpagani as long as uko kinyume na wao basi hauko safe kabisa.
Badala ya kukemea mauaji, mme anza kujigawa kwa kuitisha attendence ya kidini eti hawa waislam hawa wakristu.
tukisema na haya maandamano yagawiwe kwa dini, kutakuwa na lolote la maana ki nchi?.