comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
-
- #21
Kwahiyo hao uliowataja WAKISHASEMA inatakiwa wote tutoe maoni KULINGANA NA MAWAZO YAO? kila mtu si ana uhuru wa kutoa maoni kulingana na mawazo yake? Kama unajiona tunajigawa sawa, nawewe pambana bila kujigawa.Mayor Quimby na Kiranga wame sema sana humu kuwa watanzania wengi hamjui kuchambua mambo kwa uhalisia, mna endeshwa na hisia plus mihemuko ya mawazo yenu.
suala la mauaji yana fanyika kila siku, hawajali wewe ni mkristu, muislam au mpagani as long as uko kinyume na wao basi hauko safe kabisa.
Badala ya kukemea mauaji, mme anza kujigawa kwa kuitisha attendence ya kidini eti hawa waislam hawa wakristu.
tukisema na haya maandamano yagawiwe kwa dini, kutakuwa na lolote la maana ki nchi?.
Muda mwingine nakubaliana na wewe kuwa logical thinking yetu bado sana, yaani full kuendeshwa kwa mkumbo na hisia ziziso weza kuchambua kwa hoja.Wabongo wengi ni wadini sana.
Wanauawa na kutekwa watu wa dini zote, lakini sasa suala lishafanywa la kidini.
Dini zenyewe ujinga mtupu.
Una eleweshwa kwa hoja, sijasema mawazo yao ni sahihi kwamba hawa kosei ila most of the time wana sema ukweli juu ya hili au lile.Kwahiyo hao uliowataja WAKISHASEMA inatakiwa wote tutoe maoni KULINGANA NA MAWAZO YAO? kila mtu si ana uhuru wa kutoa maoni kulingana na mawazo yake? Kama unajiona tunajigawa sawa, nawewe pambana bila kujigawa.
Wabongo wanataka kufanya maandamano kuing'oa CCM lakini wameshindwa kufanya bank run kuigomea CRDB ilivyowahanithi pesa zao wenyewe.Muda mwingine nakubaliana na wewe kuwa logical thinking yetu bado sana, yaani full kuendeshwa kwa mkumbo na hisia ziziso weza kuchambua kwa hoja.
Kuna vijana wengi wa kimasikini wana kamuliwa na kupotezwa daily, sidhani kama mtoa mada na great thinker's wenzie kwenye huu uzi wana attendence ya kujua majina yao sembuse dini zao.
Tuna rudi hatua mia nyuma, mapambano si dhidi ya udhalimu uliopo bali ya imbalance ya mauaji ya wana dini.