Viongozi wa HAMAS waliokuwa wanaishi Qatar waenda kusikojulikana. Netanyahu awataka Mossad kuchukua hatua

Viongozi wa HAMAS waliokuwa wanaishi Qatar waenda kusikojulikana. Netanyahu awataka Mossad kuchukua hatua

Turkish President Recep Tayyip Erdogan warned Israel on Wednesday that Israel would “pay a very heavy price” if it attempted to eliminate Hamas members in Turkey.
Huyo anatoa mikwara mbuzi tu mosad wanaweza wakala kichwa chake Israel wamevurugwa yeyote anae ingia kwenye 18 zao hawamwachi salama.
 
Qatar atakuwa kaona hawana faida yeyote kwa watu wake hapo salama yao ni kwenda Iran ila wakienda turkey hawaaminiki
Ndivyo walivyokuambia au umekuwa msemaji wao ??
 
Viongozi wote wa hamas wamefyekwa
 
Back
Top Bottom