King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,077
- 2,705
Achana na mateka mkuu nazungumzia assassination zao hili hata irani limemumiza mno just go and read yule mwanasayansi wao(Mohsen Fakhrizadeh) wa nyuklia waliekuwa wanamlinda sana je ilitokea niny! Mpaka akauawa na bunduki iliyokua imelekezwa na mfumo wa teknolojia mwaka 2020.Unajua zamani media karibu zote zilikuwa za magharibi na tulidanganywa sana aisee! Kamba nyingi.
Hao Mossad mnaowasifia leo mwezi wa tatu hawafahamu mateka walipo na hiyo Gaza ni eneo dogo sana kama Kigamboni.
Hamas wamepanga mashambulizi wameingia mpaka ndani ya Israel wamefanya picha na kurudi Gaza hao Mossad wako wapi?
Acheni story za zamani😂
Hivyo haya mambo ya kijasusi huwa siyafatilii kupitia western media just huwa nasoma mwenyewe, pia siongozwi na mahaba mkuu, ila nasimamia ukweli plndio maana nikasema irani ilifanya investiment kubwa sana kijasusi baada ya mauaji haya kwa wanasayansi wake wa nyuklia, ndio maana alikua anawadaka sana majasusi wa mossad ndani ya nchi yake na kuwanyonga.