Kwan oct 7 , Hamas walilianzisha wakiwa wap na nin ilikuwa malengo yao kuua raia wema wa Dunia akiwepo mtz mwenzio ?Wanasonga mbele kwenda wapi? Eneo la Gaza kama Kigamboni tu au unaongea kishabikii mandazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan oct 7 , Hamas walilianzisha wakiwa wap na nin ilikuwa malengo yao kuua raia wema wa Dunia akiwepo mtz mwenzio ?Wanasonga mbele kwenda wapi? Eneo la Gaza kama Kigamboni tu au unaongea kishabikii mandazi.
Kuna operation isiyo na madhara ? Jmn muwe mnafikir kabla ya kujibuWe bado hujaina madhara walio pata
Wewe na yule MK254 huwa mnanifurahisha kweli kweli , wewe unakufa na hamas wako na jamaa yy anakufa na idf yakeUturuki kawaita wote na kawambia Israel wakimgusa yeyote ndani ya ardhi ya Uturuki atakachofanya Waisrael wanajua wenyewe.
😀😂😂😂😂😀😀😀😂😂😂🤣🤣😄Uturuki kawaita wote na kawambia Israel wakimgusa yeyote ndani ya ardhi ya Uturuki atakachofanya Waisrael wanajua wenyewe.
Uturuki kawaita wote na kawambia Israel wakimgusa yeyote ndani ya ardhi ya Uturuki atakachofanya Waisrael wanajua wenyewe.
MOSSAD si ndio hao hao walioshindwa kujua mpango wa Hamas wa kuivamia Israel na kuuwa maelfu na kuchukua mateka kurudi nao Gaza?MOSAD mko wapi wapi jamani?!
malizeni hawa vibaraka haraka sana !
kama wewe utakosa kuwa punguani basi neno punguani lifutwe ktk kamusi!Yaani watu wanapambania taifa lao unawaita vibaraka kweli ukishakuwa punguani na akili zinahama.
Usinifananishe na uharo huo huenda wewe unifahamu mimi naleta data na facts za kutosha pia huenda upendezwi na michango yangu JF nivumulie au potezea post zangu kusoma.Wewe na yule MK254 huwa mnanifurahisha kweli kweli , wewe unakufa na hamas wako na jamaa yy anakufa na idf yake
Nakuambia tena ungetumia muda wako kujifunza kupia mabandiko yetu kuhusu Mashariki ya Kati wewe umri wako mdogo unajua vita vimeanza Oct 7 wakati yalikuwa majibu hivi vita vimeanza miaka 75 iliyopitq.Kwan oct 7 , Hamas walilianzisha wakiwa wap na nin ilikuwa malengo yao kuua raia wema wa Dunia akiwepo mtz mwenzio ?
Mnajipaga moyo na ujasiri usiokuwepo, sasa huyo uturuki ndio wa kumpiga Israel??kifupi mataifa yote ya kiarabu ni mbw koko kwa muisrael, wanaishiaga kubweka tuUturuki kawaita wote na kawambia Israel wakimgusa yeyote ndani ya ardhi ya Uturuki atakachofanya Waisrael wanajua wenyewe.
mda utaongeaWamshindwa kuwakamata Hamas na mateka wao ambao wapo Gaza watawazeza viongozi wa Hamas
Usipanic ,wewe ni hamas yule ni idf ,nawafuatilia mnavyovipost humu namnyoviamini wote mnajiona mko sahihi na vyanzo vyenuUsinifananishe na uharo huo huenda wewe unifahamu mimi naleta data na facts za kutosha pia huenda upendezwi na michango yangu JF nivumulie au potezea post zangu kusoma.
Sasa huyo Musrael unayembambaikia leo mwezi wa 3 kakwama Gaza anuwa watMnajipaga moyo na ujasiri usiokuwepo, sasa huyo uturuki ndio wa kumpiga Israel??kifupi mataifa yote ya kiarabu ni mbw koko kwa muisrael, wanaishiaga kubweka tu
hahaha nipanic kwako😂Usipanic ,wewe ni hamas yule ni idf ,nawafuatilia mnavyovipost humu namnyoviamini wote mnajiona mko sahihi na vyanzo vyenu
NB : nakufahamu kitambo tu toka enzi hizo na akika Rejao
Mimi siwezi kuwa muisrael mweusi au hamas mweusi, M23 tu hapa wananikosesha usingizi ni hangaike na hao, wavaa kobaz uchwara ndio huwa maandaazi , mnawaonea huruma mabosi zenuSasa huyo Musrael unayembambaikia leo mwezi wa 3 kakwama Gaza anuwa wat
hahaha nipanic kwako😂
Mimi mwenyewe nakusoma ni Muisrael mweusi tena shabiki mandazi toka lini ukapenda post zangu.
Erdogan ni kiongozi mtata mwenye ndimi mbili.Turkish President Recep Tayyip Erdogan warned Israel on Wednesday that Israel would “pay a very heavy price” if it attempted to eliminate Hamas members in Turkey.
Kwa Jamal Kashogy ilikuwaje?Uturuki kawaita wote na kawambia Israel wakimgusa yeyote ndani ya ardhi ya Uturuki atakachofanya Waisrael wanajua wenyewe.
Mbona Yair Netanyahu kijana wa Waziri mkuu anaonekana Miami Beach akila bata wakati vijana wengine wapo vitani huko Israeli?Wao ni kupiga kelele wakiwa mahotelini ya nyota tano huwa wagaza wanasafiri na punda kukimbia vita kwa ajili ya wapumbavu wachache