Umeuliza na umejijibu mwenyewe.Hiyo ICC ilishamkamata nani? Tofauti na waafrika wachache na rais mstaafu wa Kossovo? Wana jeshi la kukamata mtu au wana magereza ya kufunga watu?
Sababu aliona west watawanyanyasa sana south Africa, kaona asije leta msala Kwa mshikaji wake lakina hakuna wa kumkamata kama angeendaSasa kwanini Putin alishindwa kwenda South Africa.
Kichwa yako imejaa majiPutin anayeua watu ktk nchi nyingine asikamatwe aje akamatwe Netanyahu anayejitetea.? Halafu kwanza watamkamatia wapi.
Dogo, acha ndoto za alinacha.Ule wasi wasi uliowahi kuwapata Omar Albashir na Vladmir Putin sasa umehamia kwa viongozi wa Israel.
Hiyo inafuatia na dokezo lilitolewa na wizara ya mambo ya nje ya Israel baada kuangalia mwenendo wa kesi zinazofunguliwa dhidi yao kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita.
Nchi kadhaa zimeonekana kuongeza shinikizo kwenye mahakama hiyo zikitolea mifano mingi ya uhalifu uliofanyika Gaza na ukingo wa magharibi na ule unaoendelea.
Israeli officials concerned about possible ICC arrest warrants as pressure mounts over war in Gaza
Wamkamate dikteta Putin kwanza.Kwa hivyo hiyo mahakama ni kwa ajili ya baadhi ya viongozi sio kwa viongozi wahalifu wote.
..... Ila ya kwako imejaa makamasi.Kichwa yako imejaa maji