Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Yeah, now you are talking,
Wamepanga?Kesho ufipa
View attachment 1634179
UKAFIE MBELEWatatoa tangazo rasmi la kumfukuza Tundu Antipas Mughwai Lisu.
Nyumba kwa hisani ya mwanachamaWamepanga?
Kesho ufipa
View attachment 1634179
Nimejikuta nacheka sana.πKesho ufipa
View attachment 1634179
Wakifanya hivyo watatusaidia sana, maana mh. Lissu ataunda chama kingine amabacho kitakua vizuri mnooWatatoa tangazo rasmi la kumfukuza Tundu Antipas Mughwai Lisu.
Hata ndoo moja ya rangi 140,000 wameshindwa lolo
Ofisi Yenyewe imewashinda...
Yaani ukiwa Ubelgiji ukubwa wa majitusi, majigambo mbwembwe mingi unahisi wanatoka kwenye mjengo kama wa WASAFI tower.Nyumba kwa hisani ya mwanachama
Makao ya chama chenye umri wa miaka 28 na nusuNimejikuta nacheka sana.π
Haya ndio makao makuu ya chama kinachopokea millions za Tax payer money kama ruzuku?