El Maestro
Senior Member
- Apr 12, 2020
- 178
- 126
Jamaa jitahidini basi kuonyesha utaasisi hata kama hamshiki madaraka, viongozi wa juu ndo nani aah igeni matangazo ya CCM basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa jitahidini basi kuonyesha utaasisi hata kama hamshiki madaraka, viongozi wa juu ndo nani aah igeni matangazo ya CCM basi
Kila mara nasepa chadema wanakosa strategists, hapo ndo wanapo feliMngetulia kwanza mkajipanga, huku kukurupuka ili mradi kushindana na jamii ya mitandaoni ndo kutazidi kuwatoa relini. Jana mzee wa Miga katoa tamko bila kuwasiliana na CHADEMA kujua kinachojiri. Leo wanamama wameapishwa huku kiongozi wao akimtaja Mwenyekiti Mbowe. Kesho Makene au Mnyika atakurupuka kuongea, keshokutwa atakuja Mbowe kuwapongeza wanamama walioapishwa leo. Wanachama mtabaki kila mtu ananena kwa lugha yake.. Yote kwa yote mnaowaamini wanasiasa endeleeni, Ila hatutachoka kuwaambia sio Lissu,Mbowe, Mnyika wala nani wote wachumia matumbo tu.
Kipimo chako Cha kuendelea ni Nini?!!!Nchi hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za walipa kodi zinatumika kumpa mbowe kuwanunua wabunge wa kike badala ya maendeleo
mama DKesho ufipa
View attachment 1634179
Kurusha tu mikutano yao ya kampeni katika SOCIAL MEDIAS ilikuwa MWENDO WA KOBE...full kuchelewa...ni tofauti na kipindi kile walipokuwa wanamchuna Mzee Lowassa mwaka 2015....Jamaa jitahidini basi kuonyesha utaasisi hata kama hamshiki madaraka, viongozi wa juu ndo nani aah igeni matangazo ya CCM basi
Hapo nyuma kuna kinyumba cha wageni short time 2500....mama D
Makao Makuu ya Chama!!! Yaani Headquarters. Hata msingi wa bendera rangi yake imekwaruzika kwaruzika
View attachment 1634212
.
Nyumbu ni nyumbu tu....Please msifukuzane wala kumtafuta mchawi, tulieni kwa sasa mtafakari hatima ya Chadema na upinzani kwa ujumla.
Katika mambo ya aibu ambayo hayaelezeki ni hili.Makao ya chama chenye umri wa miaka 28 na nusu
Chama kilichokua kinataka kupewa dola😂😂😂
Nadhani utakuwa ni tajiri Mkinga maana si kwa makao makuu yale.Hakuna tajiri mwenye aibu
Duh! Wazazi wenza!!Hapo nyuma kuna kinyumba cha wageni short time 2500....
Hata CCM ni wachumia Tumbo pia ndiyo maana madalali wametengeneza mchongo wa kuwanunua hao wabunge wamekula 10% endapo chadema italeta lugha za kijinga jinga kuwatetea hao wabunge utambue kuwa itapoteza wanachama wote na kuwa kama TLP NCCR
🤣🤣🤣Katika mambo ya aibu ambayo hayaelezeki ni hili.
Yaani hata mwanasheria wa komredi TL Boby Amsterdam atakuwa anawacheka kwa hicho KILINGE.....Nadhani utakuwa ni tajiri Mkinga maana si kwa makao makuu yale.
Halima J Mdee ni inner member wa ELITE CIRCLE ya CHADEMA....kamwe Hawezi KUFUKUZWA......Fukuzeni woote anzeni na yule wa kiume Halima Mdee na demu wake Bu.....la.....ya.
Wengi wangapi?!!!Nimegundua Watanzania wengi bado wana imani na chadema na wanamapenzi ya dhati pamoja na majanga yote chadema inapitia.
.............ni kama kilabu cha tembo la mnazi. Pembeni pale naona mnazi kwa hiyo inawezekana wagema wako karibu🤣🤣🤣
Sasa kama KUMCHUNA lowassa walibaki hapo katika banda la kuranda mbao....
Sasa Kama walikuwa na wabunge zaidi ya 50 na kupata ruzuku iliyoshiba bado walikuwa happy katika nyumba ya kupikia HALUWA....
Sasa Kama SABODO alivyokuwa ANAWAPIGA Tafu kubwa kiuchumi bado waling'an'gana hapo kwenye kilinge Cha uganga....
Unategemeaje Leo hii wakiwa na wabunge 20 bungeni....huku kila mbunge akikatwa 3M kulipa fadhila ya go ahead iliyopelekea KIAPO CHA LEO ndio wawe na OFISI ILIYOTUAMA?!!?
Afadhali wafanye hivyo ili waondokane na shombo lake na waanze kujenga chama upya.Watatoa tangazo rasmi la kumfukuza Tundu Antipas Mughwai Lisu.