Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

Mngetulia kwanza mkajipanga, huku kukurupuka ili mradi kushindana na jamii ya mitandaoni ndo kutazidi kuwatoa relini. Jana mzee wa Miga katoa tamko bila kuwasiliana na CHADEMA kujua kinachojiri. Leo wanamama wameapishwa huku kiongozi wao akimtaja Mwenyekiti Mbowe. Kesho Makene au Mnyika atakurupuka kuongea, keshokutwa atakuja Mbowe kuwapongeza wanamama walioapishwa leo. Wanachama mtabaki kila mtu ananena kwa lugha yake.. Yote kwa yote mnaowaamini wanasiasa endeleeni, Ila hatutachoka kuwaambia sio Lissu,Mbowe, Mnyika wala nani wote wachumia matumbo tu.
Tuambie na ya kusifu na kumuabudu Magufuli
 
Haya ndio makao makuu ya chama kinachopokea millions za Tax payer money kama ruzuku?
Pesa nyingi hutumika kupambana na hujuma kesi za kubambikiwa uonevu wa CCM mda mwingi hutumika kuokoa chama lakini endapo mbowe kachukua pesa kauza wabunge huko Bungeni ajue chadema ndiyo bye bye hakuna mwenye Akili timamu atasalia chadema
 
Mngetulia kwanza mkajipanga, huku kukurupuka ili mradi kushindana na jamii ya mitandaoni ndo kutazidi kuwatoa relini. Jana mzee wa Miga katoa tamko bila kuwasiliana na CHADEMA kujua kinachojiri. Leo wanamama wameapishwa huku kiongozi wao akimtaja Mwenyekiti Mbowe. Kesho Makene au Mnyika atakurupuka kuongea, keshokutwa atakuja Mbowe kuwapongeza wanamama walioapishwa leo. Wanachama mtabaki kila mtu ananena kwa lugha yake.. Yote kwa yote mnaowaamini wanasiasa endeleeni, Ila hatutachoka kuwaambia sio Lissu,Mbowe, Mnyika wala nani wote wachumia matumbo tu.
Wata nena kwa lugha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mngetulia kwanza mkajipanga, huku kukurupuka ili mradi kushindana na jamii ya mitandaoni ndo kutazidi kuwatoa relini. Jana mzee wa Miga katoa tamko bila kuwasiliana na CHADEMA kujua kinachojiri..
Hata CCM ni wachumia Tumbo pia ndiyo maana madalali wametengeneza mchongo wa kuwanunua hao wabunge wamekula 10% endapo chadema italeta lugha za kijinga jinga kuwatetea hao wabunge utambue kuwa itapoteza wanachama wote na kuwa kama TLP NCCR
 
Mngetulia kwanza mkajipanga, huku kukurupuka ili mradi kushindana na jamii ya mitandaoni ndo kutazidi kuwatoa relini. Jana mzee wa Miga katoa tamko bila kuwasiliana na CHADEMA kujua kinachojiri. Leo wanamama wameapishwa huku kiongozi wao akimtaja Mwenyekiti Mbowe. Kesho Makene au Mnyika atakurupuka kuongea, keshokutwa atakuja Mbowe kuwapongeza wanamama walioapishwa leo. Wanachama mtabaki kila mtu ananena kwa lugha yake.. Yote kwa yote mnaowaamini wanasiasa endeleeni, Ila hatutachoka kuwaambia sio Lissu,Mbowe, Mnyika wala nani wote wachumia matumbo tu.
Dah!
 
View attachment 1634185

Usione aibu kuonyesha wanapokaribishwa.
Usione Aibu kusema hapo ndipo CCM hukoseshwa usingizi mpaka kuunda ushetani wa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani na sasa hapo hapo pamewapa gharama kubwa kuwanunua wabunge wa kike kwa hofu ya wahisani wafadhili kuwawekea vikwazo, hiyo Ofisi ni ndogo lakini CCM wanaiogopa mpaka kuwafanyia kila aina za Visa,
 
Haya ndio makao makuu ya chama kinachopokea millions za Tax payer money kama ruzuku?
Hiyo ndiyo ofisi huogopwa na CCM mpaka kukesha kuwabambikia kesi kuwapiga risasi uonevu unyanyasaji uovu mateso yote na sasa wametumia mabilioni kuwanunua wabunge wa kike, Sasa jiulize je? Chadema wangekuwa na ghorofa 5 ingekuaje? Si mngekuwa mkiwachinja kama kuku?
 
Tayari nina popcorns zangu hapa nasubiria kesho saa tano asubuhi kwa episode mpya ya ufipa [emoji23]...

CHADEMA wanaweza pia anzisha reality show watapata pesa nzuri maana wapo vizuri kwa maigizo.
[emoji1787][emoji1787] bongo nyoso
 
Makamanda sugu ataitisha lini pres[emoji1787][emoji1787] ya kurudi kwa baba
 
Nchi hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za walipa kodi zinatumika kumpa mbowe kuwanunua wabunge wa kike badala ya maendeleo
 
Chadema fukuza hawa wote19 tusonge mbele.

Wakati wa kucheka na waunga juhudi haupo tena.
 
Natabiri ya kuwa mh.Mbowe atawatuliza wanachama wake km alivyoibadili gia angani baada ya ule "ushenga" wa Askofu Gwajima.....

Kesho ataiongelea "mama Tanzania " Kama afanyavyo Komredi MBATIA....

Kesho atasema "wanafungua siasa za approach tofauti na zisizozoeleka ya kwamba wameamua KUWARUHUSU akina MDEE kuwepo bungeni ijapokuwa WAMEUMIZWA KIHISIA VIBAYA SANA....

Mbowe atasema ya kwamba VITA VYAO Ni Kama gorilla war...wako ambao watakuwa nje ya bunge na ndani ya nchi(wao waliokosa ubunge ) na wako walioko ughaibuni na diaspora (akina komredi Lissu) na wako Hawa akina MWAIFUNGA SALOME MAKAMBA MDEE BULAYA KABOYOKA et al pale mbele ya SPIKA NDUGAI....

Kwa hiyo kesho NYUMBU wajiandae kisaikolojia...kabla ya next week nao akina Zitto wakiangusha WMD kuruhusu MARIDHIANO ili Seif na akina Jussa wawepo kwenye CIRCLE ya utawala.....

Jamaa zetu CDM na ACT wako msambweni kisiasa(crossroad)....

Wasipotuliza VICHWA vyao basi CHADEMA inakwenda kuwa Kama NRA tamka "NAREA" 🤣🤣🤣🤣

RAI YANGU KWA KOMREDI MAKENE NA MABOSI WAKE:

Kamwe wasiwafukuze HAO WALA VIAPO 19....
Kamwe WASIWATENGE hao Wala viapo 19.....

Waendelee kupambana kipindi hiki ambacho taifa letu Lina kiongozi bora aina ya LEE KUN YEW ama MELES ZENAWI(sijasema ana authoritarianism developments) bali AMEFOCUS kuijenga NCHI miundombinu na kupambana na wale maadui wakuu 3 ili akiondoka kuwe na mazingira bora ya KUITAFUTA HIYO DEMOKRASIA wanayoililia hawa CHADEMA wasio na OFISI NZURI....

Ninamtakia usiku mwema ndg.komredi Nusrat Hanje na ninampa pole ya "kung'atwa na chawa kwa muda wa miezi 3 mfululizo.Ajue kuwa MOLA MPANGAJI ndiye aliyepanga yote hayo ya kutoka kunywa UJI katika kikombe Cha bati all the way kwenda kuapishwa kuwa mbunge huku akianza kulamba POSHO NENE ya kununua NGUO NZURI ZA KUZAMIA BUNGENI na Yale mafuta ya kuondoa MUWASHO na vipele vilivyosababishwa na KUNGUNI wanyonya damu.....

Maisha ni safari ndefu mno.....

Usishangae Mdude Nyagali atakapotoka anahamia CCM moja kwa moja......

MAENDELEO HAYANA VYAMA.
JPM JUU JUU JUU
 
Back
Top Bottom