Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
NI IJUMAA YA TAREHE 28.02.2025
Pamoja na mambo mengine maombi hayo yatahusu Uchaguzi Mkuu Ujao ambapo kwa maelezo ya mmoja wa Mitume watakao kuwepo Apostle Boniface Mwamposa amesema Taifa la Tanzania linaenda kurudishwa kwenye ramani yake ambapo Sasa kutakuwa na Uchaguzi Huru na Haki.
Inasemekana mada ya Katiba Mpya pamoja na Tume Huru ya Uchaguzi itazungumzwa na kuombewa na Watumishi hao wa Mungu kutoka katika kila dhehebu na dini.
Taifa linahitaji Uchaguzi Huru na Haki kwa Faida yake yenyewe hivyo kama patakuwa na haki basi Mungu atasimama Kwakuwa Mungu wetu ni Mungu wa kweli na haki.