Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
Mkuu utakuwepo?Haya
Niko Israel kwenye mabadilishano ๐Mkuu utakuwepo?
Uswahilini kuna vituko, yaani misa inakuwa na mada maalum, ha ha huyo ndio mwenyekiti mliomchagua!! Kutwa anashinda mitandaoni kubishana na watu kwa petty issues!!NI IJUMAA YA TAREHE 28.02.2025
Pamoja na mambo mengine maombi hayo yatahusu Uchaguzi Mkuu Ujao ambapo kwa maelezo ya mmoja wa Mitume watakao kuwepo Apostle Boniface Mwamposa amesema Taifa la Tanzania linaenda kurudishwa kwenye ramani yake ambapo Sasa kutakuwa na Uchaguzi Huru na Haki.
Inasemekana mada ya Katiba Mpya pamoja na Tume Huru ya Uchaguzi itazungumzwa na kuombewa na Watumishi hao wa Mungu kutoka katika kila dhehebu na dini.
Taifa linahitaji Uchaguzi Huru na Haki kwa Faida yake yenyewe hivyo kama patakuwa na haki basi Mungu atasimama Kwakuwa Mungu wetu ni Mungu wa kweli na haki.
Una maoni gani ewe adui wa msalaba๐Haya
Mwamposa awe Waziri mkuu ๐Una maoni gani ewe adui wa msalaba๐
๐๐Niko Israel kwenye mabadilishano ๐
Hakuna uchaguzi mwaka huu kama no reforms asema BwanaNI IJUMAA YA TAREHE 28.02.2025
Pamoja na mambo mengine maombi hayo yatahusu Uchaguzi Mkuu Ujao ambapo kwa maelezo ya mmoja wa Mitume watakao kuwepo Apostle Boniface Mwamposa amesema Taifa la Tanzania linaenda kurudishwa kwenye ramani yake ambapo Sasa kutakuwa na Uchaguzi Huru na Haki.
Inasemekana mada ya Katiba Mpya pamoja na Tume Huru ya Uchaguzi itazungumzwa na kuombewa na Watumishi hao wa Mungu kutoka katika kila dhehebu na dini.
Taifa linahitaji Uchaguzi Huru na Haki kwa Faida yake yenyewe hivyo kama patakuwa na haki basi Mungu atasimama Kwakuwa Mungu wetu ni Mungu wa kweli na haki.
Yehova, yaani Mungu wa mbinguni, Aliye Bwana wa mabwana, Mungu wa miungu. Mfalme wa mbingu na nchi. YWHWMungu yupi?