Viongozi wa kike nao huandaliwa dogodogo pale wanaposafiri nchi nyingine?

Kuna nchi huwa viongozi wa kiume wanaandaliwa binti mmoja wa kumpa kampani awapo ugenini.

Sasa nauliza huu utaratibu upo pia kwa jinsia ya kike?

Kwanza huo ni uongo wa wazi na pili, nani kakutuma uwaze vibaya kuliko lucifer, una mawazo machafu chafu, kwanini? Ukiendelea hivi, utakuwa maskini fukara wa kutupa, acha mawazo ya ufukara na hutaendelea milele
 
"Aina ya vijana kama hawa wanamchango mdogo katika taifa" japo wanaumuhimu sana anyway wazo zuri 🙌🙌
 
Kwanza huo ni uongo wa wazi na pili, nani kakutuma uwaze vibaya kuliko lucifer, una mawazo machafu chafu, kwanini? Ukiendelea hivi, utakuwa maskini fukara wa kutupa, acha mawazo ya ufukara na hutaendelea milele
"Acha mawazo ya ufukara na hutaendelea milele". Hii iko sawa kweli.!? Au ulitaka kusema " usipoacha mawazo ya ufukara hutaendelea milele"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…