Wangetambika uwe wa haki,uwazi na huru ningewaelewa.Machifu, watemi, watwale pamoja na waganga wa tiba za asili mkoani Tabora wameungana kufanya matambiko maalum ya asili kuombea taifa amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Matambiko hayo yamefanyika katika Kijiji cha Izimbili, Manispaa ya Tabora, yakihudhuriwa na viongozi wa mila, waganga wa tiba za asili na wawakilishi wa serikali.
Makamu Mwenyekiti wa Machifu nchini, Msagata Fundikila, amesema hatua hiyo inalenga kuhamasisha Watanzania wote kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani na kudhibiti vitendo vyote vya uvunjifu wa utulivu.
“Wakati taifa letu likijiandaa na uchaguzi mkuu, kila mmoja wetu anapaswa kuhakikisha amani inatawala katika kila hatua ya mchakato huu,” amesema Fundikila.
Kwa upande wake, Katibu wa Waganga wa Tiba Asili mkoa wa Tabora, Jumanne Mpanda, ametoa onyo kali kwa wale wote wenye nia ya kuvuruga amani akisema hawatavumiliwa.
Na ushirikina mumo humoMachifu, watemi, watwale pamoja na waganga wa tiba za asili mkoani Tabora wameungana kufanya matambiko maalum ya asili kuombea taifa amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Matambiko hayo yamefanyika katika Kijiji cha Izimbili, Manispaa ya Tabora, yakihudhuriwa na viongozi wa mila, waganga wa tiba za asili na wawakilishi wa serikali.
Makamu Mwenyekiti wa Machifu nchini, Msagata Fundikila, amesema hatua hiyo inalenga kuhamasisha Watanzania wote kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani na kudhibiti vitendo vyote vya uvunjifu wa utulivu.
“Wakati taifa letu likijiandaa na uchaguzi mkuu, kila mmoja wetu anapaswa kuhakikisha amani inatawala katika kila hatua ya mchakato huu,” amesema Fundikila.
Kwa upande wake, Katibu wa Waganga wa Tiba Asili mkoa wa Tabora, Jumanne Mpanda, ametoa onyo kali kwa wale wote wenye nia ya kuvuruga amani akisema hawatavumiliwa.
Elfu kumi kumi hapo zimetembeaMachifu, watemi, watwale pamoja na waganga wa tiba za asili mkoani Tabora wameungana kufanya matambiko maalum ya asili kuombea taifa amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Matambiko hayo yamefanyika katika Kijiji cha Izimbili, Manispaa ya Tabora, yakihudhuriwa na viongozi wa mila, waganga wa tiba za asili na wawakilishi wa serikali.
Makamu Mwenyekiti wa Machifu nchini, Msagata Fundikila, amesema hatua hiyo inalenga kuhamasisha Watanzania wote kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani na kudhibiti vitendo vyote vya uvunjifu wa utulivu.
“Wakati taifa letu likijiandaa na uchaguzi mkuu, kila mmoja wetu anapaswa kuhakikisha amani inatawala katika kila hatua ya mchakato huu,” amesema Fundikila.
Kwa upande wake, Katibu wa Waganga wa Tiba Asili mkoa wa Tabora, Jumanne Mpanda, ametoa onyo kali kwa wale wote wenye nia ya kuvuruga amani akisema hawatavumiliwa.
Si ndio hapo mzee. Wamakalia upuuzi tuAfrika ujinga ujinga mbona hawakutambika wastawaliwe na wazungu