Viongozi wa kisiasa hawawezi kwenda mbinguni

Viongozi wa kisiasa hawawezi kwenda mbinguni

Ni mpumbavu pekeee, anayeamini kuna pepo na jehenam
Tunaacha kuwawajibisha watu, tunashinda tunawapigia makofi, tunasimama pembezoni mwa barabara masaa kuwapisha wapite kwa nguvu ya fedha zetu, halafu tunabaki kujifariji kwa maneno ya kiholela na ya kupandikizwa ya ahera na jahanum.

Kama kuna jahanum wa kwenda huko wakiwa wa kwanza ni sisi tunoona na kusubiri jahanum itulipizie kisasi kana kwamba hiyo jahanum tumeijenga sisi. Akili za kizembe na kipuuzi kabisa.
 
Ukiangalia maendeleo ya Eneo la kazi aliyopewa kulinganisha na alichojifanyia Yey e kwa maslahi yake kuptia rasilimali za Umma ....utajua nchi inaongozwa na Maskini wabinafsi.
 
Wanabariki utekaji.
Wanabariki uuwaji.
Wanabariki wizi wa kura.
Wanabariki majina feki.
Wanaiba hela za umma.
Wanafitinisha jamii.
Wanadhulumu maskini.
Haya na mengine mengi wanasiasa hawataiona pepo.
Wanajizima data a.k.a kuahirisha kufikiri kizalendo
 
Wanabariki utekaji.
Wanabariki uuwaji.
Wanabariki wizi wa kura.
Wanabariki majina feki.
Wanaiba hela za umma.
Wanafitinisha jamii.
Wanadhulumu maskini.
Haya na mengine mengi wanasiasa hawataiona pepo.
Ungebainisha kabisa ni wanasiasa wa chama na nchi zipi hizo hapa duniani mkuu.
 
Back
Top Bottom