Viongozi wa kisiasa hawawezi kwenda mbinguni

Viongozi wa kisiasa hawawezi kwenda mbinguni

Ni mpumbavu pekeee, anayeamini kuna pepo na jehenam
Hata hapa Duniani ukiwa na madaraka na mali nyingi kiasi gani lakini ukiwa huna amani ndani ya Akili zako na moyo wako ni sawa sawa na jehanamu !
Kwahiyo jehanamu ipo kuanzia hapa hapa Duniani ! 😅👍
Magonjwa sugu yasiyotibika etc etc,
Jehanamu inaanziaga hapa hapa ni Duniani. 🙏🙏😳
 
Wanabariki utekaji.
Wanabariki uuwaji.
Wanabariki wizi wa kura.
Wanabariki majina feki.
Wanaiba hela za umma.
Wanafitinisha jamii.
Wanadhulumu maskini.
Haya na mengine mengi wanasiasa hawataiona pepo.
Watakwabia prove kama kweli mbingu ipo? Wanaamini maisha ni kumalizana hapa hapa Duniani
 
Back
Top Bottom